Bring Back our Miss Chagga

Bring Back our Miss Chagga

Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu

Najua yuko ban

Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa

Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...

Bring back our miss chagga

Kakosa nn mpk apigwe ban na mods???
 
Probation mmmmmmhhhhh pole yake sanaa..! Naona wengne walitaka watembelee nyota yake......
 
Haaaaaah haaaaaah kumbe unampa muwa..! Hii ni hataree

mademu JF ni watafutaji tu kama hao wa barabarani, tofauti yao hawa natumia visimu na bundle kututafuta mabwana hapa. jivutie mmoja, kina heaven on earth, Lara 1, na wengine weengi
 
mademu JF ni watafutaji tu kama hao wa barabarani, tofauti yao hawa natumia visimu na bundle kututafuta mabwana hapa. jivutie mmoja, kina heaven on earth, Lara 1, na wengine weengi

Haaaaaaah haaaaaaaah Me bado nipo nipo kwanza...!wewe chinja tuu sisi tutasawazisha later on
 
Huu utakuwa ni uonevu tu, miss chagga ni mtu poa sana hapa jamvini. Kama katenda kosa la kustahili kufungiwa basi asamehewe.
 
Last edited by a moderator:
mademu JF ni watafutaji tu kama hao wa barabarani, tofauti yao hawa natumia visimu na bundle kututafuta mabwana hapa. jivutie mmoja, kina heaven on earth, Lara 1, na wengine weengi

mods uko wapi mtie ban huyu haya ni matusi kwa madada zetu wa jf.
 
Tabia zenu za kujifanya vidomodomo na kupenda kubwabwaja vyovyote mpendavyo itawakosti.
Watu wengine hamtujui sisi ni akina nani hasa na tuna mamlaka gani humu, mnatuchukulia poa
- Ila tupo tunawachora tu.Muangaliage shauri yenu ebo!
Sasa tumeanza na wapenda chapaa.
10986886_1481913298714380_7374759877505600812_n.jpg
 
Ni kweli Mkuu lakini hapa nimeshaona wanaostahili kufungiwa hawafungiwi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na wengi wamelalamika bila mafanikio. Miaka ya nyuma ulikuwa humtusi mtu hapa utakula kibano ukirudi adabu mtindo mmoja. Tangu waje hawa buku 7 ndio matusi yakaongezeka na kufungiwa hawafungiwi. Sijui labda katenda kosa.

Lakini sheria inakata kotekote bank
 
Ni kweli Mkuu lakini hapa nimeshaona wanaostahili kufungiwa hawafungiwi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na wengi wamelalamika bila mafanikio. Miaka ya nyuma ulikuwa humtusi mtu hapa utakula kibano ukirudi adabu mtindo mmoja. Tangu waje hawa buku 7 ndio matusi yakaongezeka na kufungiwa hawafungiwi. Sijui labda katenda kosa.

Namwona tu Invisible ana like tu hapa....Mkuu tuambie neno --------- ni kosa gani kulitamka?
 
Last edited by a moderator:
Mwache tu atie likes labda anaangalia wingi wa rufaa kabla ya kumtoa kifungoni na wakati huo akitafakari kuanza tena kutumia rungu lake ili kupunguza wanaorusha matusi hapa jamvini.

Namwona tu Invisible ana like tu hapa....Mkuu tuambie neno --------- ni kosa gani kulitamka?
 
Miss chaga anaweza kuwa ndiye kandunje nini?maana naye kapotea kwenye public toka jana
 
Back
Top Bottom