Bring Back our Miss Chagga

Bring Back our Miss Chagga

Addict

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
702
Reaction score
485
Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu

Najua yuko ban

Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa

Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...

Bring back our miss chagga
 
Tatizo alinikataa nikamuombea ban huyu miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hela mnabana mpeni paswed zenu ATM, MPESA, TIGOPESA, nk; she will be back soon
 
Hakuna ku-lift ban kama ndiye anayetuletea mapicha ambayo hata shetani yanamtisha!
 
Ni jana tu miss chagga alikuwepo humu. Mwacheni jamani labda yujo weekend na bebi wake
 
miss chagga yupo geto kwangu anakula miwa...nyie pigeni kelele, anarudi jumatatu.🔇
 
Ha ha ha.. Kwa hiyo yuko njia kuu siyo.. Ila itabidi 2 miss chagga arudi kwenye mchepuko wake fasta.. Hakawii kunikuta ameshaporwa huku lol..

Yupo kiwanja flani, namuona hapa yuko na njia kuu yake, my brother. safi sana leo kakaangu angalau apate haki ya kuinjoy weekend na mtu wake
 
Aaaghh ngoja nlete bango
Bring back our misssss!!!!!
 

miss chagga Baned


  • Join Date : 7th June 2013
    Posts : 27,138
    Rep Power : 0
    Likes Received13571
    Likes Given23896​
  • Dah! Wagambo (Moderators) hawa angalii makunyanzi.



 
Last edited by a moderator:
Yani ndio nimesikia hizi habari hapa.Yani mwanangu wamempiga ban kisa ni nini?

Mie hata sijui kwanini Honey Faith.. Sema huyu mwanao miss chagga nae ni mwingi.. Labda ameingilia anga za mtu na sasa anataka kum-gwamanya lol..

Yupo kiwanja flani, namuona hapa yuko na njia kuu yake, my brother. safi sana leo kakaangu angalau apate haki ya kuinjoy weekend na mtu wake

Ha ha ha ha Dragoon kumbe unajua aliko duuh.. Japo uko loyal kwa kaka yako naomba umnnong'oneze japo sikioni kwamba ninam-miss..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom