Brg Gen Mwakanjuki afariki dunia

Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Pole kwa Msiba mwenzetu. Mungu awape nguvu katika wakati huu mgumu
 
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Pole sana Mkuu kwa msiba huu mzito

R.I.P Brigadier General Mwakanjuki
 
May his soul rip.

majenerali wa ukweli wanaishia hivyo......tunabaki na mashimboshimbo

rip mjomba

p+046.jpg
 
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Kaka,
Ni habari ya kusikitisha sana nimeipokea usiku. Poleni sana. Tuko pamoja katika wakati huu mgumu mnaoupitia.
Maggid
 
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Pole sana Kibunango Mungu akutie nguvu.
 
Poleni sana Kibunango na familia nzima. Tunamuomba Mungu Awape faraja ya kweli na nguvu katika kipindi hiki kigumu. Baraza la Mapinduzi, Serikali ya Mapinduzi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempoteza jemadari wa ukweli, aliyekuwa tayari kuifia nchi yake na kuyashika maadili mema katika uhai wake wote.
Rest In Peace Brig. Gen. Mwakanjuki!
 
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

pole sana kibunango, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awape faraja ndugu, jamaa na marafiki
katika kipindi hiki kigumu.
r.i.p. brigadier general
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom