Straddler
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 722
- 191
watu wazuri wanafariki wanabaki wabaya na wezi wa taifa. Natamani angekuwa waziri moyo wangu ungefurahi!. Ee Mungu kama hakuwa fisadi mpokee apumzike kwa amani.
Duuh..!!:A S 13:...
Mwanadamu si malaika jamani.
Nilipopita Singida Mjini, nilisikia malalamiko kidogo kuhusu jengo la ofisi kuu ya CCM na uwanja wa mpira wa miguu, kushindwa kumalizika kujengwa.
Jina la "Mwakanjuki" lilitajwa kama mara mbili tatu hivi. Alishawahi kuwa mkuu wa mkoa pale..:A S-coffee:
RIP BRIGEDIA.