Brg Gen Mwakanjuki afariki dunia

It's all about the time coz the Holly Bible says "time and chance happen to them all". R. I. P Br. Jen. Adam Mwakanjuki.
 
RIP BRIG. Mwakanjuki.

Kikwete lazima akwee ndege kuwahi mazishi. Dili lingine la Rais

Mawaziri pekee ambao nimewahi kukaa na kuongea nao kirafiki na ambao hawakuwa na ya kipekee ila kutuona watanzania wote ni ndugu kutoka Tanzania visiwani ni


  • [*=2]Adam Mwakanjuki
    [*=2]Hasan Moyo.
Naongelea ambao nimeonana nao ana kwa ana, kukaa pamoja na kubadilishana mawazo kwa mstakabali wa nchi yetu.
RIP
 
Alikuwa makini sana Nyerere alimtegemea kwa vitu vingi sana ili kuiendesha na kupata habari za znz.Mungu akuweke mahali pema.
 
Majenerali wa Ukweli wanaishia hivyo......tunabaki na MASHIMBOSHIMBO

RIP Mjomba

p+046.jpg

Asili yake Kyela sura yake haifichi ukweli huo. Ni mwanyakyusa waliohamia znz enzi za mababu.

ZNZ wanaitwa wanyamwezi wakimaanisha mtu mwenye asili ya bara ingawa neno wanyamwezi lilitokana na wingi wa watu wa kabila la wanyamwezi walioko zanzibar wengi walikwenda enzi la utumwa kama manamba kwenye mashamba ya karafuu.
 
Waziri wa zamani katkia SMZ Brg Gen Mstaafu amefariki dunia mchana wa leo ktk hosp ya jesh Lugalo!!
Nilikuwa hapo punde pata habari hizi, sijui alikuwa anasumbuliwa nanini mwanasiasa huyu mkongwe!

APEPE (Apumzike Pema Peponi) Gen. Br. Mwakanjuki.
 
..R.I.P Adam Mwakanjuki.

NB:

..marehemu ana mwanae ambaye ni mwanachama wa muda mrefu wa JF.

..nampa pole sana kwa kuondokewa na Baba yake mzazi.
 
Hoo!! Malafyale Mwakanjuki Jamani. Nakumbuka nilipokuja Tanzania mwezi Febr 2012 nilipata bahati ya kumtembelea kule kwake Mbezi beach.

Ni mtu makini sana na alikuwa mpenda watu na mwakilishi wa malafyale wote kule Znz.

Pole familia yake yote pamoja na akina "Save water Drink beer" na member wengine hapa barzani.

Mola ailaze pahala panapo stahikh. Adam Mwakanjuki.

Ukija tena niletee tende.

RIP Adam.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom