Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Ulaji wa mafuta kati ya hizo gari tofauti yake iko vipi?
 
Vipi kuhusu acceleration na stability katika barabara
Acceleration ni chap kwa ukali, juzi nilikuwa nasukuma mnyama wa best yangu. Aisee that thing pulls up faster!

Halafu ni nzito, you feel uko kwa gari hata at high speed. Tofauti kabisa na jamii ya corrolla ama 1.8L cars nyingi za Toyota.
 
2015 model, nimewah kuiendesha sana, inatumia mafuta kidogo sana ila ni Ngumu kwenye upande wa Shokapu.. hata upige shimu mara nyingi, Bado inabaki imara tu.
Gari kubwa kama ile toyota wameiwekea engine ya 2700cc,daah iko undepowered kinyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…