Breaking News: Leo Ngereja Kuongea na wafanyabishara wa mafuta

Bila shaka atatoa taarifa za Kufukuzwa nchini kwa Kaburu wa Engen aliyeipa Serikali ya JK masaa 24 iwe imeshusha bei za mafuta.
<br />
<br />
AFUKUZWEE? HAIWEZEKANI! SANASANA ANAWEZA KUWA ANATANGAZA KUKUBALI MASHART YA ENGEN LOOL KESHAKATIWA CHA JUU
 
Nchi hii bwana! Apewe KAGAME. Nahisi hata Idd Amin alivyotaka kuichukua He was Right bora tungekuwa na Dikiteta tu.
 
Ningelikuwa mie ndo William Mganga Ngeleja, ningekwisha jitia kitanz. Hakuna cha maana, washawaona wananch wa Tanzania wote ni mashoga
 
Usanii mtupu, Serikali inaweza kujiadhibu? Kuna taarifa kuwa viongozi wakubwa serikalini ndo wana share ktk makampuni ya mafuta. Tabu yote hii ni kutokana na Mafisadi wa CCM kutunishiana misuli wenywe. Jana au juzi afisa mahusiano wa EWURA akiwa anaongea na Mlimani Tv aliulizwa swali hilo akaishia kujiuma uma tu - hakujibu swali. CCM inaipeleka nchi hii pabaya.
 
Serikari yetu inapoteza pesa nyingi ambayo ingepatikana kwa kukusanya kodi kwa umakini katika mafuta,lakini kutokana na kutotumia vifaa vya kisasa
kuhakiki kiasi cha mafuta kilichopo kwenye matenki ya kuhifadhia mafuta na katika pump za kuuzia mafuta kwa wauzaji wa jumla ,wameshindwa kuwazibiti waagizaji wakubwa wa mafuta na kupelekea udanganyifu mkubwa katika biashara hiyo!
Kama tungekuwa tunatumia mfumo huu wa kisasa hata mvutano unaoendelea hivi sasa kati ya wafanyabiashara wa mafuta na serikali usingekuwepo kwani wangekuwa wanajua mfanyabiashara aliingiza kiasi gani na ameuza kiasi gani ,hii ingepelekea kujua wafanya biashara wenye stock ya zamani na kubaini wale wadanganyifu na kuwachukulia hatua maramoja.
 
waTZ TUTAENDELEA KUUMIZWA MPAKA LINI? TUTADHARAULIWA MPAKA LINI? TUTALALAMIKA MPAKA LINI?WAKATI UMEFIKA TUNATAKIWA KUCHUKUA MAAMUZ MAGUMU!!
 
Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned
Kuzungumza nini tena? Hivi haya madhara wanayaona? Huu ni wakati wa kuchukua hatua, si wa kuzungumza kwa sababu wananchi tunaumia
 
kala 50b leo ataongea nini? wa shenzi tu hao pamoja na m kwere wake
 
tatizo la kuchukua hongo toka kwa jamaa.sasa viongozi wanashindwa kukemea hili tatizo sababu washavuta saana toka kwa ma supplier
 
Hii ni stupid nyuzi mkuu

yuko kwenye payroll unahisi ataongea nini huyu ni katika wale masaburi amesema wabunge wengine wanafikiri maka%^&& badala ya akili next unamjua
 
Back
Top Bottom