Nafikiri Chuma HATAKIWI kumwomba radhi Masatu isipokuwa ni wa wakati wa Masatu kujihoji kuwa ni kwa nini baadhi ya wana JF wamemwona hana mvuto tena hadi issue zake watake zipitie kwa wengine.
Hili ni anguko.Ukistaajabu anguko la Lowassa utaona la nanihii.
Hahahahahhaha
kwa nn isiwe magufuli?
Gembe sasa unataka atembee na nani, unajua hao wengine wanachofanya au walichofanya? Men has to do what he has to, cha muhimu asiwe fisadi na asitende kazi vizuri!WATU WANAMTAKA Pinda,
Kimtazamo anafaa,ila tabia ya kutembea na mabinti na wake za watu inanipa shaka na utendaji wake.
Hakuna cha u junior wala nini MEMBE for Premiership!
Magufuli awe WAZIRi Mkuu? Walimuogopakwa nn isiwe magufuli?
Nyie watu hahahaWATU WANAMTAKA Pinda,
Kimtazamo anafaa,ila tabia ya kutembea na mabinti na wake za watu inanipa shaka na utendaji wake,Umakini wake uanweza ukapungua katika masuala muhimu yanayohusu nchi.
Jina pekee ambalo nalipendekeza kwa mtukupewa Uwaziri Mkuu ni George Mkuchika
Leo unamponda pombe magufuliKiutendaji nafikiri Pombe anafaa sana. ila sijui kama ana vision. Otherwise, kama JK akichagua jamaa ambaye hana vision then plus yeye mwenyewe atakuwa hajafanya kitu. He really need to do his homework before. Asije akarudia makosa.
UlijuajeChaguo la kwanza halikwenda "vizuri".. Tunafahamu nini kuhusu Mizengo Pinda?
Leonwawexa semaHaiwezekani! Nitandaa maandamano kupinga uteuzi wake!. huyu tayari kachafuliwa na kuachwa peupe na ripoti ya kamati teule, iweje tule matapishi?
Na ni mwalimu huyu huyu aliyesema kwamba Lowassa hakuwa msafi mwaka 1995! Iweje ninyi mumuone msafi miaka kumi baadaye? Sasa ndio tunaamini kauli za hayati mwalimu sio?
Ni kweli kwamba JF tuko huru "Kusema lolote", lakini hapa nimetoka kapa kabisa! Mkuu naomba unifafanilie hicho Kigagagigikoko, nimeachwa nje ya mada kabisa, sijaelewa ulichochangia katika kuendeleza mada hii, huenda kuna pointi ya muhimu sana hapo. Kama kuna mwingine kaelewa naomba anieleweshe!
Yaani leo kazi yako ni kufukua makaburi tu halafu wana jf wanavyokupotezea sasa hadi huruma yaaniLeonwawexa sema