Break up. . .

To be honestly wanajamvi me huwa nina ujasiri wa kifisadi... nikona mambo hayaeleweki namwambua tu "naomba kuanzia leo uhusiano uishe" akiuliza sababu najidai me ndo mwenye makosa ili yaishe.........

That reminds of 'it's not you, it's me...I just think you are too good for me'

So lame and corny!
 
Heehe. . .sio lazima iwe hivyo lakini.

Yaweza kuwa "Sina hisia nawe/sikupendi tena/nahitaji muda kutafakari maisha yangu yanapoelekea MWENYEWE! "n.k
 
Kwangu mie natamani niambiwe mara moja, ila kwa mwenzi wangu, nitaangalia kwanza uelewa na ustaarabu wake....Sitaki kuondoka na damu ya mtu kwenye viganja vyangu!

Babu DC!!
 
Hizo lines mbona ziko nyingi....kuna hii pia...'I just need a break from everybody and everything'...kumbe mwenzio hapo keshapata mwingine.

Ila kumuambia mtu humpendi tena is kinda brutal....mtu kama ana moyo mwepesi anaweza akazimia kabisa. Ndiyo maana wengi huwa wanatafuta njia za kidiplomasia zaidi.
 
Babu uzuri ni kwamba ulipofikia na bibi hamna break ups. . .labda kama umezidi vituko haswaaaa.
 
Hahahaha. . .sindo anakua anataka break from everybody and everything ili apate nafasi ya kuwa na mpenzi wake mpya bana.

Hivi ehhhh? Sikuwahi kufikiria kwamba inaweza kumuuma sana mtu kuambiwa hivyo. . .naonaga kama ni ukweli unaopokeleka!!
 
Hapo akisema 'I need a break from everybody and everything (including dating)'....anakuwa anakupa viashiria kuwa hataki ku-date. Sio kwamba anakuambia 'I need a break from you so I can date "him". So basically you are led to believe that she just doesn't want to date anyone right now....kumbe holaaaa.

Well, they say truth hurts, don't they?
 
Sasa si anajaribu kutokuwa mean? I mean come on. . .we utajisikiaje mwenzio akikwambia moja kwa moja kwamba "nataka kuachana na wewe ili niwe na yule"?! Moja kwa moja unajua kwamba that other guy is better than you (kwa huyo bibie that is).

Yeahh. . .I guess it does. Inabidi watu wawe wanaweka na kauongo kidogo basi.
 
mkwe mzima wewe
biashara ya kukuacha taratibu bila kujua we unajibaraguza mwenzako ashakuweka kapuni siku mingi hapana bora nieleze mapema nilianzishe itakuumiza lakini maisha yatasonga mbele pia inaweza kukuumiza zaidi pale utakapogundua uliachwa siku mingi lakini akaact kukupenda
 
Wee ita tu mkwe jamaa ameishachukua mtu mwingine...STUKA...lol
 
Babu uzuri ni kwamba ulipofikia na bibi hamna break ups. . .labda kama umezidi vituko haswaaaa.

Weeeeeeeee,

Bado movie inaendelea na lolote laweza kutokea....Ila naamini siwezi kujiua kwa kuachwa....

You know why???.....Sijawahi kupenda kwa 100%....Hizo nilizobakiza ndiyo kinga yangu!

Babu DC!!
 
Sasa si anajaribu kutokuwa mean? I mean come on. . .we utajisikiaje mwenzio akikwambia moja kwa moja kwamba "nataka kuachana na wewe ili niwe na yule"?! Moja kwa moja unajua kwamba that other guy is better than you (kwa huyo bibie that is).

Yeahh. . .I guess it does. Inabidi watu wawe wanaweka na kauongo kidogo basi.

Nimefurahi sana kwamba leo umeouona ukweli kuwa si kila kitu lazima kisemwe kama kilivyo,...indicating kwamba kuna mazingira mtu analazimika kutumia uongo mtakatifu ili kupunguza maumivu kwa wengine!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom