Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

Nimejikuta nacheka sana hapo kwenye red
 
Wee ni mbunifu wa matangazo ya Biashara
Sijui kwa nini OUTDOOR ama Roots hawajakuona?

Hapa tu kawekewa TEGO matangazo hayaishi, jiulize kabla ndio alikua anaipa PROMO gani hiyo mbunye yake...huenda ishalemaa kwa kupigwa ndondo
 
halafu napaa hisia kwamba aloweka uzi wa "wanaume stress tupu" ni huyu huyu manake alikuwa anatetea sana mada ya kusagana. nahisi ujumbe ulifika sasa hapa anatafuta partner mpya kimtindo lol! watu wako creative sana humu lol!
 
Shosti usihukumu maana nawe utahukumiwa. Huko sijui "kusagana" au "kusiginana" mimi sina mpango nako kabisaa, hivyo siwezi kukutetea.
 
mkuu lini utavuka hapo mlangoni ama na wewe umeekewa tego usitoke ndani ya nyumba ya mgoni wako??

Hilo tego noumer, limenasa hata kabla sijaanza. Huyu mwenye mke nahisi alichukua kigoma huyu. Ile kumuona tu, ikanasa kwenye suruali na shati!
 
Hahahahahah shosti pole sana ila mshkaj hakuamini anakuona we wa kugawa hovyo ka pipi,ingekuwa miye nampiga chini fasta,wasiliana na lara 1 anadawa ya kutegua tego so usihofu......
Shosti usihukumu maana nawe utahukumiwa. Huko sijui "kusagana" au "kusiginana" mimi sina mpango nako kabisaa, hivyo siwezi kukutetea.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah shosti pole sana ila mshkaj hakuamini anakuona we wa kugawa hovyo ka pipi,ingekuwa miye nampiga chini fasta,wasiliana na lara 1 anadawa ya kutegua tego so usihofu......
Shosti, najua Lara 1 anaweza kuwa na hiyo dawa, lakini nisingependa kutegua kabla sijafanya test kuthibitisha kama kweli huyu Bf amenitega ili nimmwage mapema kwa ushahidi. Niache tu shosti nitafute mwenye roho ngumu nikafanye naye test kama ni kweli tunasane. Halafu itoke magazetini "Mtawa anasana na ......"
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

inabidi mtu akubali kuzungushwa dar yote hii mkinasana ila naahidi kugharimia safari yote ya kwenda na kurudi kuwatenganisha India lakini chakula mtabeba nyie wenyeweee!
 
Nimeipata, ila nakushauri uage familia yako yote kwanza kabla sijakupa mahali pa kukutaniana kwa ajili ya test.

hapo umenena ngoja niitishe kikao cha dharula niwaage nimepangiwa safari mkoani siku mbili,nawe pia aga kabisa ili tukinusurika kunasana inabidi tuspend siku nzima!
 
Hahahah hyo dawa ni ya kuprove ka kwel kakuweka tego au la so huitaj kugawa kitumbua chako mtafute bana, au wataka nawe waanze kukupa majina yaleee..
Shosti, najua Lara 1 anaweza kuwa na hiyo dawa, lakini nisingependa kutegua kabla sijafanya test kuthibitisha kama kweli huyu Bf amenitega ili nimmwage mapema kwa ushahidi. Niache tu shosti nitafute mwenye roho ngumu nikafanye naye test kama ni kweli tunasane. Halafu itoke magazetini "Mtawa anasana na ......"
 
Hahahah hyo dawa ni ya kuprove ka kwel kakuweka tego au la so huitaj kugawa kitumbua chako mtafute bana, au wataka nawe waanze kukupa majina yaleee..
Shosti Ciello, naona kweli bora niwasiliane na Lara 1 anipe msaada wa kutanzua hili, maana nimepata pm nyingi hadi nimeshindwa nikafanye test na yupi! Kweli nimeamini wanaume ni sawa na mafisi, hata mzoga ukiwa na sumu yatafakamia na kujifia tu. Nina mpango wa kuzianika hapa hizo pm zote baadaye.
 
Vitu vingine ndugu yangu unaweza ukafikiri tuu! Hivi unategemea kama angekuwa amekuwekea tego ange kwambia?

Kama ana nia ya kuku kamata hawezi kukwambia!

Hivi kama kweli wewe unajiamini wasi wasi wanini!

Cha muhimu wewe linda uhusiano wako kama kweli unaupenda, kama humpendi hata akiweka tego haitosaidia!

Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom