Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana.

Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego.

Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo?

Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia?

Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).
 
Umeonaee, biashara matangazo! Wata kupm sasa hivi mkanasane!
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).
Mwana wa kileo kama wewe unaamini hayo mambo? Kumkomoa we go ahead and Just Do It!
 
Una bahati nimeshawowa, ningekuwa wa kwanza kuunga foleni maana najua watakuja wengi wakitaka kutest........... LOL
 
Umeonaee, biashara matangazo! Wata kupm sasa hivi mkanasane!

Kuna mganga kutoka NAIJERIA keshatangaza kuwa anayo dawa ya kutegua TEGO, wewe uko dunia gani SHEIKH MESTOD.....?
 
Last edited by a moderator:
Mie ndio mwenye hakimiliki ya tego....hebu ukuje nione kama dawa yangu inafanya kazi
 
Muulize aina ya tego kwanza kabla sijaku-PM, kama ni Tego la Kobe sitaki, maana hilo ni hadi ukate kichwa cha kobe bila kumtoa kwenye gamba lake, yaani ukishakata kichwa chake tu ndio mnaachiana, otherwise, sahau
 
Binti[B said:
.com[/B];5111695]Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

kweli ''.com''
 
ww sema una ham ya kugidwa usisingizie tego.

mie ungesema una ham ningeweza kujitolea, Ila assume nimenasa si ndo nitaonekana ndo mchezo wangu wakati mie mtu safii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom