Muongo huyo hakuna cha tego wala nini...ww fanya sio kwa kujaribu ingia na miguu yote,,,angekuwa amekutega asingekuambia ila anakutisha ingawa kwa namna moja ama nyingine ni nzuri kukulinda kwa style hiyo kwani kujaribu jaribu nayo sio ishu.
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana.
Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego.
Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo?
Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia?
Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).