Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

952_405594289513777_508853229_a.jpg
 
...sasa kila anaeambiwa hivyo anakuja kujaribu kwangu...njoo na weye...wenzako hawajanasa...ila ajabu wanataka kila siku....
 
Yaani kutest kwanza inapidi uchomeke dole gumba....ukiona linasitasita kuingia ujue kuna walakini
 
Yaani kutest kwanza inapidi uchomeke dole gumba....ukiona linasitasita kuingia ujue kuna walakini
Dole gumba?? na likinasia umo!?? Siku hizi tunatembea na matango/soseji...unatest!
Unless nawewe umeweka thread hapa kama 'tego' mi naomba uni-pm wewe.. Binti.com
 
Last edited by a moderator:
ww sema una ham ya kugidwa usisingizie tego.

mie ungesema una ham ningeweza kujitolea, Ila assume nimenasa si ndo nitaonekana ndo mchezo wangu wakati mie mtu safii
Umeona eeh!
Huyu atakuwa ni muhuni tu; anawashwawashwa!:typing:
 
ww sema una ham ya kugidwa usisingizie tego.

mie ungesema una ham ningeweza kujitolea, Ila assume nimenasa si ndo nitaonekana ndo mchezo wangu wakati mie mtu safii
Nikiwa na hamu ananimalizia huyo Bf wangu. Nachohitaji ni test tu, tena kuchovya na kutoa mara moja. Sihitaji utamu wako wala sitaki wewe upate utamu wangu, na pia kama wewe ni tego-proof sikuhitaji maana sitapata matokeo ya uhakika kutoka kwenye test yangu.
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

umepinda wwwwwwwwwww
 
hahahahaha:) Jaribu ING"ANG"ANIEMO
 
Wee ni mbunifu wa matangazo ya Biashara
Sijui kwa nini OUTDOOR ama Roots hawajakuona?
 
mtoa mada, sumu haijaribiwi kwa kuonja. wewe tulia tuli kama maji ya mtungini, akiona u mwaminifu roho itamsuta na kukuomba radhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom