Pale mbugani mikumi alivukaje?Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm ndani ya masaa 10...
Kwa rekodi hiyo ameitangaza vema kampuni inayotengeneza pikipiki za boxer kwenye
Mwendokasi
Umadhubuti
Uimara
Mafuta
Na ya kwamba ni chombo kinachoweza kuaminiwa na kuaminika kwenye barabara za Afrika na miundombinu yake
Kwa wanaojua na kujali marketing dogo bila kufahamu kafanya kitu kikubwa sana.. Na kampuni ya boxer wakiwa werevu wanaweza kumtumia vizuri na kila mmoja akapata na kufaidikaView attachment 3531047
Kwa nini asivuke, kuna nini cha kumzuia?Pale mbugani mikumi alivukaje?
Simba au chui sianakurukia ghafla...au ikitokea pikipik imepata hitilafu inakuaje pale mbugani...Kwa nini asivuke, kuna nini cha kumzuia?
Mo wa SimbaBoxer ni wahindi wale watu hawanaga shukrani hata kidogo muhinfi haoana
Hongera sana Kijana shujaa.....MO ndio waksla mkuu wa boxer Tanzania.....sijui atafanya niniKatika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm ndani ya masaa 10...
Kwa rekodi hiyo ameitangaza vema kampuni inayotengeneza pikipiki za boxer kwenye
Mwendokasi
Umadhubuti
Uimara
Mafuta
Na ya kwamba ni chombo kinachoweza kuaminiwa na kuaminika kwenye barabara za Afrika na miundombinu yake
Kwa wanaojua na kujali marketing dogo bila kufahamu kafanya kitu kikubwa sana.. Na kampuni ya boxer wakiwa werevu wanaweza kumtumia vizuri na kila mmoja akapata na kufaidikaView attachment 3531047
Mchana wanyama wachache karibia na hakuna kabisa.Pale mbugani mikumi alivukaje?
Habari za Weekend Mkuu, najaribu kukucheck pm naona hakuna access.Umri unaruhusu
We we wechunga mdomo wako.Ni hatari Kwa Afya hii sio sifa.
Wala sio sifa, ni kijana na sifa ya kijana ni kujaribu mambo yanayoonekana magumu.Ni hatari Kwa Afya hii sio sifa.
"muhinfi haoana",,Wamekuudhi Hadi Umeamua Andika Kibantu Orijino Cha Kwenu Huko...Boxer ni wahindi wale watu hawanaga shukrani hata kidogo muhinfi haoana
Ni hatari pia, ndiyo kaweza.Wala sio sifa, ni kijana na sifa ya kijana ni kujaribu mambo yanayoonekana magumu.