Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,400
Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm ndani ya masaa 10...

Kwa rekodi hiyo ameitangaza vema kampuni inayotengeneza pikipiki za boxer kwenye
Mwendokasi
Umadhubuti
Uimara
Mafuta
Na ya kwamba ni chombo kinachoweza kuaminiwa na kuaminika kwenye barabara za Afrika na miundombinu yake

Kwa wanaojua na kujali marketing dogo bila kufahamu kafanya kitu kikubwa sana.. Na kampuni ya boxer wakiwa werevu wanaweza kumtumia vizuri na kila mmoja akapata na kufaidika
1768640872574.jpg
 
Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm ndani ya masaa 10...

Kwa rekodi hiyo ameitangaza vema kampuni inayotengeneza pikipiki za boxer kwenye
Mwendokasi
Umadhubuti
Uimara
Mafuta
Na ya kwamba ni chombo kinachoweza kuaminiwa na kuaminika kwenye barabara za Afrika na miundombinu yake

Kwa wanaojua na kujali marketing dogo bila kufahamu kafanya kitu kikubwa sana.. Na kampuni ya boxer wakiwa werevu wanaweza kumtumia vizuri na kila mmoja akapata na kufaidikaView attachment 3531047
Pale mbugani mikumi alivukaje?
 
Hongera sana Kijana shujaa.....MO ndio waksla mkuu wa boxer Tanzania.....sijui atafanya nini
 
Back
Top Bottom