Botellón – Get Together ya Wana JamiiForums - Ijumaa Tarehe 29 Julai 2016

Hata mimi pia nitakuwepo
4c7687cb99cc3187612a97b0fa6c6d2a.gif
 
Mimi na bebiii miss chagga tutakua visiwa vya Ibiza tunatoa udhuru....
 
Nyani Ngabu haruhusiwi kabisa kwenye hii mambo, kwa mkakati wake wa kuwagonga, hapo ndio atapiga double double!!!! Wekaga Mbali kabisa.
 
Wazo zuri ila mi ni mmojawapo wa wadau ambao hawatahudhuria kwa sababu maalumu.Thumb up.
 
tumblr_lvtcmnCu311qco2soo1_500.jpg






‘Botellón’ is a group of people who meet in a public area to socialize and consume alcohol. The people buy the alcohol from local stores as a cheap alternative to an expensive night out. The phrases literally means “big bottle,” in Spanish Language.

Baada ya kuahirisha hafla hii kutokana na hali ya Mvua hivi sasa maandalizi yamekamilika.

Kwa ushirikiano mkubwa kutoka Jamii Forums tunaandaa Betollon-Get Together Party ambayo itafanyika hapo mnamo siku ya Ijumaa ya tarehe 29 Julai 2016 katika Ukumbi wa AZURA uliopo ufukweni maeneno ya Mikocheni karibu na Escape one mbele kidogo ya daraja la Kawe

Arrangement is very simple nunua vinywaji vyako na kama utaamua kuwa na vya ziada ni sawa kisha tunakutana hapo AZURA. Maandalizi ambayo yatafanywa na kamati ni kuhakikisha ukumbi unalipiwa mapema jambo ambalo limeshafanyika na maandalizi mengine ambayo yatafanyika kulingana na michango ya watakaohudhuria ni nyama choma, Kuku Mbuzi mzima wa ndafu na ndizi mzuzu.

Idea ya hii Botellon get together party ni networking na kupena fursa mbalimbali pamoja na kufurahi kwa pamoja.

Mchango unaotakiwa ni kiasi cha elfu Arobaini (Tsh. 40,000) kwa kichwa kwa ajili ya kununua Nyama choma, kukodisha viti na meza Mziki na maandalizi mengine yatakayohitajika.

Kutakuwa na meza maalum ambapo kutakuwa na welcome drinks ambapo kutakuwa na ya kilevi na ile isiyo na kilevi.

Michango itumwe kwa namba hizi kabla ya tarehe 20 July 2016 ili kufanikisha maandalizi ya ya Botellon yetu.

Michango itumwe kwa namba hizi

+255 745 200717
+255 719 904090

Namba hizo zitasoma Jamii Media.

Kwa maelezo Zaidi mnaweza kuni PM.
Kijumbe, hujasema muda ni kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi ili tuanze kuandaa mazingira ya KUAGA

By the way anayetaka kusaidiwa mchango anione
 
Mimi nahitaji mtu wa kuungana nae siku hiyo kutoka humu ndani. Alie tayari tutafutane ili tu-form couple kwa silu hiyo. Nitalipia gharama zingine.
 
Back
Top Bottom