Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
Itabidi nifike kusafisha macho...Sasa mtu na mama ake tunakosaje kwa mfano, tulipie tu mchango mapemaaaaaa lol
Itabidi nifike kusafisha macho...Sasa mtu na mama ake tunakosaje kwa mfano, tulipie tu mchango mapemaaaaaa lol
Haha fanya tu kuja kwa kweli, usingoje kusimuliwaItabidi nifike kusafisha macho...
Ha ha hapana chezea mama angu na miamala
Poa poa.. Sasa nitoe halafu msiende... Nawagawa woteSasa mtu na mama ake tunakosaje kwa mfano, tulipie tu mchango mapemaaaaaa lol
Tugawe tu, watu watashukurujePoa poa.. Sasa nitoe halafu msiende... Nawagawa wote
Will be thereTugawe tu, watu watashukuruje
habari njema sanaWill be there
Bure???Poa poa.. Sasa nitoe halafu msiende... Nawagawa wote
Douta unazingua.. Ngoja nimsubiri mama yako nimsikie anasemajeTugawe tu, watu watashukuruje
Safari hii nsipokuona nadai change yangu ...Haha fanya tu kuja kwa kweli, usingoje kusimuliwa
Teh nazingua na nini sasa?Douta unazingua.. Ngoja nimsubiri mama yako nimsikie anasemaje
Haha utaniona na utalipa hela twiceSafari hii nsipokuona nadai change yangu ...
Kuna yeyote unamtaka kwani?Bure???
Hehhe hiyo hela twice na malazi !!!? nkajua hamna kulalaHaha utaniona na utalipa hela twice
Si usiponiona unadai change? Basi ukiniona utafurahi hadi kulipia na bonusHehhe hiyo hela twice na malazi !!!? nkajua hamna kulala