Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
Sawa fanya hivi,kubali kwenda,akupe heka za nauli na na marupurupu,ukifika Amsterdam shuka,,kula kuku kwa mrija hela ikiisha rudi kijijini kwenu ukalimeMzigo haramu
Sawa fanya hivi,kubali kwenda,akupe heka za nauli na na marupurupu,ukifika Amsterdam shuka,,kula kuku kwa mrija hela ikiisha rudi kijijini kwenu ukalimeMzigo haramu
Anaweza kufika Amsterdam na madawa ya kulevya bila kukamatwa?!Sawa fanya hivi,kubali kwenda,akupe heka za nauli na na marupurupu,ukifika Amsterdam shuka,,kula kuku kwa mrija hela ikiisha rudi kijijini kwenu ukalime
Yaani akiwa anakwenda,asifike hongkong,,aishie njiani,atokomee zakeAnaweza kufika Amsterdam na madawa ya kulevya bila kukamatwa?!
Umetunga! Ingekuwa kweli wala usingekuja ku-post hapa. Uwekano wa mtu anayejihusisha na biashara kama hiyo kuona hii post ni mkubwa kabisa. Na akiiona atang'amua wewe siyo mtu wa kuaminika na uwezekano wa kutoa siri ni mkubwa..Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata,akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake
Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo HongKong tofauti na kazi niliyoajiriwa
Ananiambia bila kwenda HongKong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka
Ananitaka niende HongKong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha
Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito,je nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
Sure,ukikataa na ukastick arround,wanakudeep six faster tu.na ukikataa ujue futi 6 chini inakuhusu.
Excellent choiceNaona bora niache kazi
Bora akiona hivyo..ataghairi mission Yake.Umetunga! Ingekuwa kweli wala usingekuja ku-post hapa. Uwekano wa mtu anayejihusisha na biashara kama hiyo kuona hii post ni mkubwa kabisa. Na akiiona atang'amua wewe siyo mtu wa kuaminika na uwezekano wa kutoa siri ni mkubwa..
Su umesoma lakini?.... kwamba amemwambia akiwaambia mamlaka basi atamfanya kitu mbaya? Mimi mtu wa namna hii nashauri a-deal naye kwa kumfanyia kitu mbaya kabla yeye hajamfanyia.... of course kama ni kweli.Bora akiona hivyo..ataghairi mission Yake.