Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

Jamani..kula kipochi manyoya Hadi umpeleke mtu hongkong?...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eeeeeh.....mazito
Kinaliwa with style mtoto mwenyewe anajiita cute kisha lovešŸ˜€

Everyday is Saturday................................šŸ˜Ž
 
Jamani..kula kipochi manyoya Hadi umpeleke mtu hongkong?...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eeeeeh.....mazito
Hish!! Hadi kipochi manyonya unakijua!?
I can't you!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kumbe ndio umekuja kunianika huku mpuuzi wewe? Your days are numbered
šŸ˜‚šŸ˜‚
Umefundishwa vyema utiifu na uzalendo kwa nchi kule.....KJ leo umeamua KUFANYA BIASHARA HARAMU na kutaka kumtoa kafara mtoto wa watu?!!!
😁😁
 
Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata, akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake.

Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo Hong Kong tofauti na kazi niliyoajiriwa.

Ananiambia bila kwenda Hong Kong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka.

Ananitaka niende Hong Kong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha.

Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito. Je, nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
unga uo
 
Kubali Ila choma upone
 
Unakibeba kifo mkononi Ila ukikaribia kufa unamrushia kifo alie kutuma. Huwo ndio ujasusi
 
Unajidanganya, kuanzia leo utaishi kwangu mpaka uibadili nia. ulivokula vyangu ulitegemea nini?
 
Kama nimekuelewa vzr shogaangu, Boss anakutuma uendee unga huyo. Option pekee salama kwako ni kuacha. Usithubutu kucheza patapotea kwenye maisha: ukikamatiwa HongKong ni risasi; ukikamatiwa Bongo ni kifungo kisicho na kikomo.
Huyu atakua anapeleka na sio kufuata!!
 
Duhhhh...
Amakweli dunia inaenda kasi sana hii, maana kiswahili kimebadilika ghafla na kuwa upside-down...šŸ¤“šŸ¤“
 
Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata, akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake.

Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo Hong Kong tofauti na kazi niliyoajiriwa.

Ananiambia bila kwenda Hong Kong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka.

Ananitaka niende Hong Kong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha.

Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito. Je, nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
Uwoga wako ndiyo Umasikini wako! Tafakari pia na hilo!
 
Ukishakubali kwenda , kinachofuata ni kushawishiwa kubeba madawa ya kulevya na hapo ndo utakuwa mwisho wako. Kuna maisha baada ya hiyo kazi na huyo boss wako. Tafakari, Chukuwa hatua.
 
Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata, akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake.

Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo Hong Kong tofauti na kazi niliyoajiriwa.

Ananiambia bila kwenda Hong Kong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka.

Ananitaka niende Hong Kong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha.

Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito. Je, nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
Pole
 
Back
Top Bottom