Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

Unamshauri vibaya. Najua wengi wa Wabongo hujiona wanyonge pale wanapokutana na watu wa aina hii lakini kunyong'onyea mbele ya binaadam mwenzako namna hii ni ukale. My motto always has been: bora nife nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga goti. Mtu kama huyo hawezi na kamwe hataweza kunifanya niishi maisha ya wasiwasi na mashaka. Tutakufa wote! Na hiyo story kama ni ya kweli nitamshauri hivyo hivyo... mlipue.. tena anapomlipua ahakikishe nchi nzima imejua. Jambo la muhimu ni kukusanya ushahidi mzito kabisa na unapomlipua linakuwa bomu haswa. BTW hii story japo nimedharau lakini inaweza kuwa ni ya kweli. Mtu kama Bashite profile yake ina-fit kabisa kuwa huyo bosi. Huyu jamaa siku nyingi nimesikia ndiyo mchezo wake na huenda kuna wakubwa wengi wako naye.
Sasa alimpue wa Nini...Wewe umekataa kazi imekushinda endelea na maisha yako..sidhani Kama Don atamlazimisha kumbebesha ...au atamua kwa kukataa..
Uitishe vyombo vya habari kuchafua mtu huna proof...hapo SI ndo umetengeneza uadui ..huyo hafanyi kazi mwenyewe ukimchafua huyo inamaana unatishia maisha na ulaji wa channel kuubwa.

Kama akiamua kukataaa Akaendelee na maisha Yake mengine...

Sio kila Vita unaingia kupigana wakati huna vifaaa...Nyingine unanyanyua mikono juu
 
Mkuu...hata Mimi natamani MAFANIKIO lakini MAFANIKIO endelevu...Kustarehe Miaka 5.. au 10 alafu kuwa kwenye deathrow maisha yako yote yaliyo Baki kunafaida gani?...

Maisha yaliyobaki, yapi?

Tunaishi leo, the future is always kiza kinene... you’ll regret the opportunity you didn’t seize!
 
Maisha yaliyobaki, yapi?

Tunaishi leo, the future is always kiza kinene... you’ll regret the opportunity you didn’t seize!
Maamuzi ya leo matokeo ya Kesho?.. ingekuwa tunaishi leo TU..sijui Kama Kuna haja ya kuweka hata akiba...

The future is unknown and uncertain but the actions you do today will influence your Future without a doubt.
 
Ndio umeona uje unisemee humu? Poa utaona alafu sikimbiliki nina kutazama kila unapo enda kupitia vifaa vyetu maalumu☹☹
ah ah yaani anatoa siri za kambi ah ah kweli watanzania hatuwezi kaa na siri moyoni....nenda kamripoti mamlaka ya madawa ategewe mtego ndo dawa pekee
 
Uwezo wa Huyu Dada kupambana na huyo Don Hana...Hawa watu Wana mitandao anaweza kwenda kwa mamlaka akambikiwa kesi akaishia jela....

Ukisema ammalize kabla ya kumalizwa kusema ukweli hawezi..nawala asisubutu..

Aondoke TU akiomba Mungu huyo Don amuache TU bila kumfanya lolote
Majina ya Don hayatajwi ovyo.[emoji41][emoji41]
 
Sasa alimpue wa Nini...Wewe umekataa kazi imekushinda endelea na maisha yako..sidhani Kama Don atamlazimisha kumbebesha ...au atamua kwa kukataa..
Uitishe vyombo vya habari kuchafua mtu huna proof...hapo SI ndo umetengeneza uadui ..huyo hafanyi kazi mwenyewe ukimchafua huyo inamaana unatishia maisha na ulaji wa channel kuubwa.

Kama akiamua kukataaa Akaendelee na maisha Yake mengine...

Sio kila Vita unaingia kupigana wakati huna vifaaa...Nyingine unanyanyua mikono juu
Kulingana na maelezo yake ni kuwa huyo mtu amemtishia. Na ninavyojua watu wa aina hii wanavyofanya kazi ni kuwa akishajua kuwa unajua undani wa kazi yake basi maisha yako yanaweza kuwa hatarini. Mtu wa aina hiyo ukiamua kumlipua kama nilivyosema (soma tena) unakusanya ushahidi mzito. Mimi mtu kama huyu niking'amua kuwa iwapo nikikataa kwa nia nzuri ataweza kunishughulikia na kama sina ushahidi kabisa basi nitajifanya kuunga wazo lake mkono na nikipata chance namtanguliza mbele ahera huko. Kuua mtu kama huyu wala siyo dhambi kabisa.
 
ah ah yaani anatoa siri za kambi ah ah kweli watanzania hatuwezi kaa na siri moyoni....nenda kamripoti mamlaka ya madawa ategewe mtego ndo dawa pekee
Hili lipo wazi kaja humu kwa lengo la kunichafua.. mie nazaa nae huyu simuachii 😃😃😃
 
Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata, akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake.

Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo Hong Kong tofauti na kazi niliyoajiriwa.

Ananiambia bila kwenda Hong Kong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka.

Ananitaka niende Hong Kong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha.

Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito. Je, nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
Acha kazi uje huku Nachingwea tuvune Korosho msimu umepamba moto
 
Huo utoto wako wa kike unahusianaje na kazi ya boss,kabebe cocaine acha kulialia,deal inalipa sana hiyo.
 
Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata, akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake.

Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo Hong Kong tofauti na kazi niliyoajiriwa.

Ananiambia bila kwenda Hong Kong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka.

Ananitaka niende Hong Kong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha.

Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito. Je, nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
Umeanza vistory vyako vya kitundulissu
 
Ndicho nilichowaza...
Boss anataka kula kipochi mayoya..
Hakuna sembe wala dona hapo!

Everyday is Saturday............................... 😎
Jamani..kula kipochi manyoya Hadi umpeleke mtu hongkong?...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eeeeeh.....mazito
 
Back
Top Bottom