Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

Njoo pm kwangu tafadhari,..Ila kama hutokuja pia napenda kukuambia kuwa kama unayapenda maisha yako achana na hiyo kitu,utajuta maisha yako yote.
 
Su umesoma lakini?.... kwamba amemwambia akiwaambia mamlaka basi atamfanya kitu mbaya? Mimi mtu wa namna hii nashauri a-deal naye kwa kumfanyia kitu mbaya kabla yeye hajamfanyia.... of course kama ni kweli.
Kama katunga au anamuombea shemeji ushauri au rafiki .ushauri Ni aache TU kazi..

Maisha yatakuwa Magumu lakini Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi..kwa kukimbia haramu.
 
Su umesoma lakini?.... kwamba amemwambia akiwaambia mamlaka basi atamfanya kitu mbaya? Mimi mtu wa namna hii nashauri a-deal naye kwa kumfanyia kitu mbaya kabla yeye hajamfanyia.... of course kama ni kweli.
Uwezo wa Huyu Dada kupambana na huyo Don Hana...Hawa watu Wana mitandao anaweza kwenda kwa mamlaka akambikiwa kesi akaishia jela....

Ukisema ammalize kabla ya kumalizwa kusema ukweli hawezi..nawala asisubutu..

Aondoke TU akiomba Mungu huyo Don amuache TU bila kumfanya lolote
 
Maisha haya asikwambie mtu ,baadaa ya kumaliza chuo na kujiajiri na baadae mtaji kukata,akatokea boss mmoja katika jiji moja kubwa hapa Tanzania ameniajiri kwenye kampuni yake

Nina miezi 6 tu kazini ila sasa boss ananilazimisha nikafuate mzigo HongKong tofauti na kazi niliyoajiriwa

Ananiambia bila kwenda HongKong ataniachisha kazi na anaweza kunifanyia kitu mbaya nikiwambia mamlaka

Ananitaka niende HongKong mara moja tu na nikirudi atanipa kazi special kwenye kampuni na pia atanipa kitita cha kutosha

Naombeni ushauri, nipo kwenye mawazo mazito,je nikikamatwa si ndo maisha yangu yatakuwa hivyo tena? Au niache kazi
Duuuh
 
SI mnasemaga wanawake Ni dhaifu...ndo maana Yake hiyo...hayo hayawezi..
Kwenye ishu ya kupeleka madawa ya kulevya China hakuna anaeweza kupeleka bila kudakwa,awe mwanaume au mwanamke.China huwa inadaka asilimia 99.9999999999 ya wavusha unga wote wanaosafirisha madawa ya kulevya kwenda China.Heri kuvamia bank kwa bunduki kuliko kupeleka madawa ya kulevya china,wapo makini mno!
 
Mlamba asali haachi..Utanunua Ist..utaona mbaya utarudi hongkong...ili ununua Tako.la nyani...baadae utaona ndo lifestyle..baadae za mwizi arubaini zinakufika
Hahahah nimecheka utadhani mazuri vile, "waswahili husema bandu bandu humaliza gogo".
 
Kwenye ishu ya kupeleka madawa ya kulevya China hakuna anaeweza kupeleka bila kudakwa,awe mwanaume au mwanamke.China huwa inadaka asilimia 99.9999999999 ya wavusha unga wote wanaosafirisha madawa ya kulevya kwenda China.Heri kuvamia bank kwa bunduki kuliko kupeleka madawa ya kulevya china,wapo makini mno!
Watakuwepo wanaopenya...Sasa biashara SI ingekufa mkuuu.....
Huko China unadhani Hakuna wateja...

Biashara Ni ngumu but not impossible.

Tena inawezekana aliekuwa anapeleka.mzigo kakamatwa Sasa Don anatafuta mwingine
 
Pole, upo kwenye kundi la organized crime ambalo kulikwepa kwake unatakiwa uwe makini sana. Toroka acha hiyo kazi kajifuche kijijini badili na simu, na acha mazoea mazoea. Huyo anakupeleka kwenye kifo.
Mkuu, alafu hii ndio hasara ya tabia ya kuzoeana zoeana na "strange faces" randomly. Watoto wa mjini wanasemaga wanatafuta "connections" sasa sijui ndio hizi?
 
Uwezo wa Huyu Dada kupambana na huyo Don Hana...Hawa watu Wana mitandao anaweza kwenda kwa mamlaka akambikiwa kesi akaishia jela....

Ukisema ammalize kabla ya kumalizwa kusema ukweli hawezi..nawala asisubutu..

Aondoke TU akiomba Mungu huyo Don amuache TU bila kumfanya lolote
Unamshauri vibaya. Najua wengi wa Wabongo hujiona wanyonge pale wanapokutana na watu wa aina hii lakini kunyong'onyea mbele ya binaadam mwenzako namna hii ni ukale. My motto always has been: bora nife nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga goti. Mtu kama huyo hawezi na kamwe hataweza kunifanya niishi maisha ya wasiwasi na mashaka. Tutakufa wote! Na hiyo story kama ni ya kweli nitamshauri hivyo hivyo... mlipue.. tena anapomlipua ahakikishe nchi nzima imejua. Jambo la muhimu ni kukusanya ushahidi mzito kabisa na unapomlipua linakuwa bomu haswa. BTW hii story japo nimedharau lakini inaweza kuwa ni ya kweli. Mtu kama Bashite profile yake ina-fit kabisa kuwa huyo bosi. Huyu jamaa siku nyingi nimesikia ndiyo mchezo wake na huenda kuna wakubwa wengi wako naye.
 
Back
Top Bottom