BOSS na DEREVA laivu....!!!!

BOSS na DEREVA laivu....!!!!

Pesa ndefu unamaanisha tshs 5000 ama?

Yule mama alikuwa na 205000 kwenye gar na ndo alikuwa anaomba awape hizo hela ili wafute picha na kama zingine wakafate hotelini,hapo ndo nilipofukuziwa kwenye hela hapo!!nikaambia hayanihusu.
 
Chezeya genye weye....genye hazijui beach wala njiani...ukisema mdogo uliona mshedede wake?
Hahahaah!hapana ila naongelea muonekano wake na utofati na yule mama.lol
 
Huo ufukwe lazima itakua ni COCO ndio kuna vibweka sana huko hasa kiza kikianza kutamalaki...
 
Dah hiyo hatari... Na kwanini polisi wanavizia watu na starehe zaO bana...
 
Mke na mme wa mtu! washenzi sana wa tabia! ningekuwa polisi wala sichukui hela ni moja kwa moja kituoni wakaelezee huo uchafu wao hadharani.
 
dah!! tena hizo za quicky in public place zinakuwaga raha sana.....
 
Polisi wa koko nuksi sana mi walishanizingua nikiwa na mama nakula upepo.. Wana njaa sana hawa jamaa
 
mie siku hizi hadi nayaogopa masemina na ma-training ya nje ya nyumbani.

Wake za watu wanabutuliwa hadi inashangaza, sijajua sababu.

Mke na mme wa mtu! washenzi sana wa tabia! ningekuwa polisi wala sichukui hela ni moja kwa moja kituoni wakaelezee huo uchafu wao hadharani.
 
Nyege za msimu zinaweza dhalilisha utu wako.
 
Duh hawa wamama kazi kweli kweli......ndio maana wengine huwafungia wake zao majumbani......
 
Malizia basi,uliposogea karibu ukamcheck maza alikuwa makamo gani.?
 
QUOTE=Laigwanan76;5152610]Duh hawa wamama kazi kweli kweli......ndio maana wengine huwafungia wake zao majumbani......[/QUOTE]

Inaonekana uyo mama anapenda Mkuyati wa fasta fasta..! Aka Voda fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom