BOSS na DEREVA laivu....!!!!

Siti ya nyuma? yaani wadhani hawa wamwela hawajui? Kajaribu uone......jamaa wako makini sana aseee!

Nasikia mamwela wana software kwenye macho wana detect chochote kiovu ndani gari
 
Malizia basi,uliposogea karibu ukamcheck maza alikuwa makamo gani.?

Mkuu kalou mi sio mzuri sana wa kukadiria umri ila yule mama ni mtu mzima anaonekana anapesa za kujitunza vizuri tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yule mama ni mke wa mtu alafu isitoshe anatembea na Dereva wake ambae inawezekana mme wake anamfahamu,au kwanini wasingetafuta hata kagesti tu mpaka imekuja kuwatoka laki mbili na zaidi huko

Na yule dereve ni mme wa mtu (right?)... Unaposema "wasingetafuta kagesti" inamaanisha unahalalisha "dhambi" au kuna tofauti gani kati ya "kumvua chupi mke wa mtu" kwenye "kagesti" au "ufukweni"?
 
Na yule dereve ni mme wa mtu (right?)... Unaposema "wasingetafuta kagesti" inamaanisha unahalalisha "dhambi" au kuna tofauti gani kati ya "kumvua chupi mke wa mtu" kwenye "kagesti" au "ufukweni"?

Mkuu nilimaanisha au kama ilo suala la mmke au mme wa mtu halina tatizo kama ulivyosema basi kwanini wasingetafuta sehemu ya kujisitiri?
 
Nilikuta alama ya mguu kwenye roof ya gari ya Boss wangu!!!!!!!!!! mambo mengine bhana full raha
 
Kuna watu wana pepo la ngono aisee yaani popote pepo likija lazima udunge au umdunge mtu iwe chooni,jikoni,sebleni,kulingana na shetani limekutuma ufanyie wapi.Ndio kama hao.
 
Hakuna dhambi nzur zote mwishowe ni kukudhalilisha,hao ni waongo ni washerati wa kubwa na lazima kila mtu ana mwenzi kamuacha nyumban.arusha ni kipashio cha sentensi. Mwe dhambi mbaya sana
 
Back
Top Bottom