Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

sijaelewa kitu kimoja kwani kazi unayoifanya kwake ni ya kukunong'oneza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]communication ni lazimi ili kazi ziende...sasa kama boss anatoa maelekezo kwa mdomo unafkr ndugu yetu hapa atayazingatia?...maana atakua tu anawaza anamaliza sa ngapi kuongea asepe....
 
Kuna watu wananuka midomo kama wamekodishwa kufanya shughuli hiyoo
 
sajili namba kwa jina fake alafu mtumie msg akishaipata unavunja line na kuitupa
 
ina maana kune huu uzi wote hatunuki midomo[emoji41]ama ndo hatujijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sababu ulizo zitaja zinaongeza uzito.
Hivyo ilikuwa tu kusema Kuongezeka uzito kupita kiasi (over weight) ndio sababu kuu inayo sababisha diabetes 2
Yap.

Extra fat inaongeza insulin resistance na inapelekea type 2 diabetes. Moja ya effects za diabetic ni kunuka mdomo, something about the sugars not being broken down properly I remember reading somewhere.

Type 2 Diabetes: How to Lose Weight

Kiti moto na bia ukipata kwa sana ujue madhara ndiyo hayo.
 
Hujawahi muona mtu ni mwembamba na ana kisukari?
Kama ngono zembe ni njia moja ya kupata UKIMWI, hilo halina maana kuchangia nyembe hakuleti maambukizi ya UKIMWI.

This is not a mutually exclusive proposition.

Think logically.
 
Nunua pipi zenye harufu nzuri mfuko mmoja, weka pipi moja mfukoni mwako kila siku ukienda kazini, akikukaribia na kukupa maelekezo yoyote kabla hajamaliza tia mkono mfukoni fasta utoe hiyo pipi na umpatie kisha msikilize kwa umakini huku ukikwepesha kwa chati pua yako na kinywa chake, nakuhakikishia hutofikisha mfuko wa pipi nusu atakuwa ameshajua na atalifanyia kazi, hatoweza kukushukuru moja kwa moja bali kimya kimya.
 
Tuachane na boss wako, tuseme tu wanaume hawajali vinywa vyao.

Unaweza kukutana na mkaka mzuriiiiii lakini eti ananuka mdomo?

Udhaifu wangu kwa mwanaume ni usafii pesa baadae.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]communication ni lazimi ili kazi ziende...sasa kama boss anatoa maelekezo kwa mdomo unafkr ndugu yetu hapa atayazingatia?...maana atakua tu anawaza anamaliza sa ngapi kuongea asepe....
hahahahahahahahaha haya mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom