Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

Kuna kunuka mdomo kunakosababishwa na Kisukari.

Inawezekana kuna ongezeko la Kisukari kutokana na lifestyle changes, watu kunywa pombe na kula nyama sana, kutofanya mazoezi, kuongezeka uzito etc.
Labda anatumia dawa za magonjwa fulani fulani pia mfano ARV,ana maambukizi katika kinywa chake,au organs za matumbo.

Pia maybe anakaa sana kimya!
 
Nunua laini mpya ya simu na Nokia mpya ya tochi mpe mtu ampigie amwambie..kisha simu dondosha kny choo cha shimo.
 
Pole mkuu, hata nyinyi humu JF wapo wanaonuka midomo nadhani. Siyo hiyo tu hata vikwapa.

Midomo kunuka inabidi kupiga mswaki kila unapomaliza chakula iwe asubuhi, mchana na jioni. Mswaki si meno bali gums na hasa ulimi maana ndo unabeba uchafu mwingi. Vikwapa ni kununua Deodorants kama huwezi basi tumia limau au hakikisha huna nywele kwenye vikwapa na utumie sabuni inayonukia. Mimi siyo daktari ila ni uzoefu wangu tu.

Mkuu ulivyosema ni sawa ila niongezee tu kidogo.

Mdomo unaweza kunuka kutokana na kuwa mtu ana jino lililotoboboka, hivyo anavyokula chakula, mabaki hujaa ndani ya sehemu iliyotoboka.

Kupiga mswaki kawaida haisaidii sana; labda achokonoe kuhakikisha kuwa mabaki yote yanatoka.

Ushauri ni kutafuta jinsi ya kumwambia akamwone daktari wa meno.
 
Huo ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine. Hauhusiani na upigaji wa mswaki
Hivi vijiwe Huwa vinaharufu kali ajabu aseh alafu ni kama Huwa vinatoka vyenyewe tu vikifika size flani
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Uhusiano wenu ukoje na huyo boss wako mbali ya u-boss? Inawezekana hajijui kwamba ana tatizo hilo!
 
Sue his stinkin' ass for a dollar to make him do something about it.
 
Bosi hanuniwi; harufu na bosi ni perfume;
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Mwambie aweke mkoni wako karibu na kinywa kisha afanye kama anatoa hewa kupitia kinywan atajua tu ananuka balaa
 
Pole mkuu, hata nyinyi humu JF wapo wanaonuka midomo nadhani. Siyo hiyo tu hata vikwapa.

Midomo kunuka inabidi kupiga mswaki kila unapomaliza chakula iwe asubuhi, mchana na jioni. Mswaki si meno bali gums na hasa ulimi maana ndo unabeba uchafu mwingi. Vikwapa ni kununua Deodorants kama huwezi basi tumia limau au hakikisha huna nywele kwenye vikwapa na utumie sabuni inayonukia. Mimi siyo daktari ila ni uzoefu wangu tu.
Sio tatzo kupiga mswaki tu tatzo halafu inatoka tumbon kwani kuna baadhi ya watu hunywa kiasi kidogo cha maji hata kama atapiga mswak atakuwa ananuka tu
 
Ni wachache Sana wanaijua harufu ya midomo Yao
Naona watu wanajimwaga Tu, si ajabu na wao Wana haalllufu haallluuffu Kali Tu

Afya ya kinywaji inahitaji msaada wa dakitari wa Meno
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Mnafanya kazi mkiwa umbali gani? Maana unaacha maswali especially kama wewe ni KE na bosi ni ME
 
Mtaje jina hapa na ofisi yake. Atapata ujumbe. Ole wako ahisi ni wewe umemuandika.....jiandae.😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom