Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
620
Reaction score
343
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.

Fanya kitu kimoja. Nunua gums mpelekee...mwambie awe anatafuna mara kwa mara ni nzuri. Wewe huwa unazitumia unazipenda.

Usimwambie khs kunuka mdomo atajiongeza tu mwenyewe na kila mkiwa nae uwe unatafuna (ila sio kwa sauti kama unakaanga popcorn).
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Kuna kunuka mdomo kunakosababishwa na Kisukari.

Inawezekana kuna ongezeko la Kisukari kutokana na lifestyle changes, watu kunywa pombe na kula nyama sana, kutofanya mazoezi, kuongezeka uzito etc.
 
Pole mkuu, hata nyinyi humu JF wapo wanaonuka midomo nadhani. Siyo hiyo tu hata vikwapa.

Midomo kunuka inabidi kupiga mswaki kila unapomaliza chakula iwe asubuhi, mchana na jioni. Mswaki si meno bali gums na hasa ulimi maana ndo unabeba uchafu mwingi. Vikwapa ni kununua Deodorants kama huwezi basi tumia limau au hakikisha huna nywele kwenye vikwapa na utumie sabuni inayonukia. Mimi siyo daktari ila ni uzoefu wangu tu.
 
Duuh aisee mashirikishe mke wake kama vp alafu sikilizia ni moto wa kifuu ama makaa ya mawe ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom