Hahaha sasa hapo cancer ya mdomo na meno kuoza itakuwa fashion.ugoro ndio umekuwa mbadala wa viroba
Hahaha sasa hapo cancer ya mdomo na meno kuoza itakuwa fashion.ugoro ndio umekuwa mbadala wa viroba
Kwani constipation ina affect vipi kinywa? Mimi nadhani labda wakati wa kucheua. Labda wewe ni Dr. unaweza kutusaidia kutueleza hili.Kuna magonjwa kama constipation na halitosis....
Haya hata upige mswaki mara 20 kwa siku, tatizo halikuachi na linazidi kuwa kubwa kila uchao......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Acha Kazi..
Mkuu hilo swala si dogo kama unavosemaSasa swalaa dogo namna hiyo unashindwa kumwambia?
Akikuongelesha ziba puaUgonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.
Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.
Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.
Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.
Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
ongezea na kufanya flossing kila siku na pia kutumia dawa za kusukutua kama medi oral kama mara mbili kwa week,usitumie kila siku kuna bacteria utakua unawaua ambao wana manufaa mdomoniPole mkuu, hata nyinyi humu JF wapo wanaonuka midomo nadhani. Siyo hiyo tu hata vikwapa.
Midomo kunuka inabidi kupiga mswaki kila unapomaliza chakula iwe asubuhi, mchana na jioni. Mswaki si meno bali gums na hasa ulimi maana ndo unabeba uchafu mwingi. Vikwapa ni kununua Deodorants kama huwezi basi tumia limau au hakikisha huna nywele kwenye vikwapa na utumie sabuni inayonukia. Mimi siyo daktari ila ni uzoefu wangu tu.
Fakitari wa meno?Ni wachache Sana wanaijua harufu ya midomo Yao
Naona watu wanajimwaga Tu, si ajabu na wao Wana haalllufu haallluuffu Kali Tu
Afya ya kinywaji inahitaji msaada wa fakitari wa Meno
Mbona etoa sababu aa obesity?Kuna kunuka mdomo kunakosababishwa na Kisukari.
Inawezekana kuna ongezeko la Kisukari kutokana na lifestyle changes, watu kunywa pombe na kula nyama sana, kutofanya mazoezi, kuongezeka uzito etc.
Come again.Mbona etoa sababu aa obesity?
[emoji23][emoji23][emoji23]ama kama wana suggestion box atupie humoKwani hana address ya ofisi ni kwao?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani akinuka mdomo inakukwaza nini?....unahitaji denda kutoka kwake?