Kwa majibu haya ya hovyo yanayotolewaaa?Thread Nzuri Sana Hapa Ufumbuzi Upo 😀
sawaaa "" lakini " kwaa taarifa yko tu " nikwamba" boss wako " ni member"" wa Jf "" na tayari "" ameshaisoma hii thread "",so jiandae kwa kifuatacho ITV
Nunua dawa inaitwa hydrogen peroxide mpe awe anasukutulia wala mbili kila siku kwa muda wa siku 14 alaf mpe colget apo utakua umemtibu tatizo we nunua mwambie bos hi zawad yako mfungashie na maelezo ya kutumia ndani yake usimwelekeze mbele za watu. TUNASUBIRI MREJESHOUgonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.
Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.
Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.
Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.
Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
baaada ya kuipitia hii post tayari ameshajikagua .. so jiandaeLakini hajijui kama ananuka mdomo, labda mabosi wote Tanzania wanaoisoma JF sasa hivi wajiangalie midomo yao.
Mnunulie big G ile p.k kila ukifika mpe kama zawadi ataelewa tatizo lakeUgonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.
Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.
Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.
Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.
Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpige busu mkuu make dawa ya moto ni moto
Mkuu hii kwa kwenye maduka inaitwaje hii hydrogen peroxide? Unamaanisha kwa jina la biashara maana nakumbuka chemistry yangu ya form two H2O2 ndio hydrogen peroxideNunua dawa inaitwa hydrogen peroxide mpe awe anasukutulia wala mbili kila siku kwa muda wa siku 14 alaf mpe colget apo utakua umemtibu tatizo we nunua mwambie bos hi zawad yako mfungashie na maelezo ya kutumia ndani yake usimwelekeze mbele za watu. TUNASUBIRI MREJESHO
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.
Sijajua watu wanaugua hivi kwa nini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.
Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.
Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwneye daladala.
Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Jina hilo hilo nenda phamancy tu waambie nataka hydrogen peroxideMkuu hii kwa kwenye maduka inaitwaje hii hydrogen peroxide? Unamaanisha kwa jina la biashara maana nakumbuka chemistry yangu ya form two H2O2 ndio hydrogen peroxide