Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

Bosi wangu ananuka mdomo, nifanyeje?

ongezea na kufanya flossing kila siku na pia kutumia dawa za kusukutua kama medi oral kama mara mbili kwa week,usitumie kila siku kuna bacteria utakua unawaua ambao wana manufaa mdomoni
Hilo la flossing nimeliwaza few minutes ago wakati nipo dinner. Meno yangu yalikuwa tight na niliacha floss nyumbani sababu huku nilipo huwezi kufanya hivyo kwenye restaurant. Nimefika tu nyumbani naidaka. Je ndugu zetu wanajua kuwa unaweza kuwa unatembea hata na katani kama huna uzi wa kupitisha kwenye meno? mradi viwe sterilised ni msaada mkubwa kuliko vijiti tunavyopewa.
 
Kuna namna nyingi sana za kumsaidia bila ya kumkera au kumdhalilisha. Njia moja wapo ni kuongea naye mkiwa faragha, kwa upole na heshima, mwambie ukweli na kisha mpe suluhisho la nini afanye ili asiendelee kunuka mdomo.

Namna ya kuondoa kabisa harufu mbaya mdomoni:

  • Apige mswaki kila anapomaliza kula chakula, ikiwa ni asubuhi, mchana na usiku kabla ya kulala.
  • Kabla ya kulala ni muhimu sana aka-floss na kupiga mswaki vizuri na kuhakikisha anasafisha ulimi kwa mswaki. Ku-floss ni kusafisha katikati ya meno kwa kutumia uzi maalumu unaitwa "dental floss". Mabaki ya chakula hasa nyama huwa na kawaida ya kuingia katikati ya meno na kutoa harufu mbaya sana. Kamwe asitumie "toothpick" kwani hizi huwa zinasukumiza mabaki ya chakula ndani zaidi badala ya kutoa nje.
  • Wakati wa kupiga mswaki asipige mswaki kwa kuupeleka mbele nyuma mbele nyuma, badala yake apige mswaki kwa kuupeleka "juu, chini, juu chini.
  • Ajitahidi kusafisha koo kwa kuingiza kidole kwenye kinywa upande wa kushoto wa ulimi na upande wa kulia ndani kabisa kwenye koo huwa kuna kitu kama vifuko hivi (kwa baadhi ya watu) na vifuko hivi huwa vinakamata mabaki ya chakula na baadaye kusababisha harufu mbaya sana. Mtu anaweza kupiga mswaki vizuri lakini akashangaa bado harufu haiishi, hii huwa inasababishwa na hivi vifuko kuhifadhi mabaki ya chakula. Ili kuvifikia vifuko hivi inabidi atumie kidole cha mkono wa kulia(index finger) kitaenda kwenye upande wa kushoto wa koo, na kidole cha mkono wa kushoto kitaenda upande wa kulia wa koo. Ahakikishe amekata kucha za hivi vidole ili asije akajiumiza, na awe amenawa mikono vizuri kwa maji na sabuni kabla ya kuingiza vidole kwenye koo.
Koo_LI.jpg
finger.PNG
Alama ya kijani inaonesha vilipo vifuko vya kwenye koo na picha nyingine ni aina ya kidole cha kutumia kufikia vifuko hivi.​
  • Baada ya kupiga mswaki, kusafisha ulimi, kusafisha meno katikati kwa kutumia dental floss na kusafisha vifuko vya kwenye koo, anaweza pia kutumia mouthwash kabla ya kulala, lakini iwe ni mouthwash ambayo haijatengenezwa kwa kutumia "alcohol". Listerine cool mint mouthwash ni bora zaidi.
  • Aache kabisa matumizi ya Sukari.
  • Awe anakunywa maji mengi kila wakati, lita mbili na nusu kwa siku.
Muhimu kuliko yote ni ahakikishe kabla ya kulala amesafisha kinywa chake, hata siku moja asilale bila kupiga mswaki kama nilivyoelekeza hapo juu. Baada ya wiki moja tu ataona matokeo mazuri.
Ikiwa njia hii itashindikana kabisa basi aende akamwone Daktari maana anaweza kuwa na tatizo kubwa zaidi la kiafya.

sajili e-mail mpya isiyo fahamika kisha andika kwenda kwenye email yake/ya hapo kazini hakikisha uandikaji wako haukutambukushi au kukufanya ujulikane
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Ana tatizo la constipation, kwa hio ale sana mboga mboga pamoj a na matunda, ikiwezekana kabla ya kula kitu chochote asubuhi anywe juice ya chungwa, pia apendelee kunywa juice hii au ale machungwa.

Machungwa yanakupa hamu ya kula na pia choo. Kukosa choo kwa siku hupelekea kupata matatizo ya ki afya, moja kunuka mdomo, kwani harufu kutoka kwenye tumbo.

Na unapo mueleza mtu kunuka mdomo, kuwa hikma, hikma ni njia ya kumfahamisha bila ya kumfanya ajisikie vibaya.

Binafsi nilipata tatizo hili na hili lilikuwa ni chanzo cha constipated, vyoo vya kukaa kitako pia sio vizuri navyo huchangia kupata matatizo kama bawasili.

Ushauri wa kumfahamisha mtu.

Kabla hujamueleza huyo boss, tafuta njia ya kujieleza wewe kama uliwahi kupata Hilo tatizo, na ulikuwa hujijui, mpaka mtu wa karibu kukueleza, na tiba ulio tumia ulibadilisha mfumo wa cha kula, hali hio ilichukuwa week mpaka ukawa vizuri. Lakini usimwambie kama ananuka mdomo, kiakili ataelewa, na utakapo mueleza muwe pekee sio kila mtu anamsikia, ni sawa na kumvua nguo.
 
Andika ujumbe wa kumchana kwny sanduku la maoni cha ofcn kwenu
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Hata wewe si ajabu nawe unanuka mdomo ili tu hujijui,ngoja wenzako nao waje wakuambie kuwa unanuka mdomo,ila usije rusha ngumi.
 
Chanzo cha tatizo harufu mbaya chaweza kuwa 1) mdomoni, 2)tumboni, 3)kwenye njia ya hewa. Tafuta na mna ambayo haitamkwaza umpe ujumbe wa uwepo wa tatizo hilo, kisha mshauri amwone dr wa meno.
 
Kuna dada moja alikuwa mtu wangu wa karibu, niliwahi kumwambia kuwa ananuka mdomo tulikuwa wawili tu wakati namwambia; hilo povu nililopewa sitasahau... yani toka siku hiyo sitawahi kumwambia mtu kuwa ananuka mdomo. acha anuke tu
 
Tengeneza e-mail address mpya kisha mtumie e-mail mueleze tatizo lake. Mshauri wakati wa kupiga mswaki asugue sana ulimi kwani ndio janga. Mshauri pia apige mswaki wangalau mara 2 kwa siku asubuhi na kabla ya kulala.
 
Tuachane na boss wako, tuseme tu wanaume hawajali vinywa vyao.

Unaweza kukutana na mkaka mzuriiiiii lakini eti ananuka mdomo?

Udhaifu wangu kwa mwanaume ni usafii pesa baadae.

Luckyline hapa hujasaidia kutatua tatizo bali kuwananga wanaume uliokutana nao. Kwa taarifa yako mbunye za wanawake 95% zinanuka ni basi tu wanaume wanavumilia. Tena kuna wengine wakivua pants tu harufu inaanza kupanda. Hili halijalishi kama mwanamke ni mzuri/msafi kwa nje.
 
Ipo spray ya hilo tatizo. Muandikie barue muelekeze akainunue kwa pharmacy. Sh kidogo sana
 
Fanya kitu kimoja. Nunua gums mpelekee...mwambie awe anatafuna mara kwa mara ni nzuri. Wewe huwa unazitumia unazipenda.

Usimwambie khs kunuka mdomo atajiongeza tu mwenyewe na kila mkiwa nae uwe unatafuna (ila sio kwa sauti kama unakaanga popcorn).
Hahah@popcorn
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Unajuaje kuwa wewe hunuki mdomoni?
 
Hakuna binadamu asiyenuka mdomo....ila viwango vinatofautiana....
 
Wewe ulikuwa unatafuta nini kwenye mdomo wake mpaka ukajua ananuka.........Tueleze otherwise nina mashaka na wewe
 
Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.

Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.

Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.

Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.

Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Mtumie clip znazohusu usafi wa kinywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom