Uuuwwwiiiii....Ndagu zingine masharti yake ni kunuka mdomo.
Wapige mswaki na wanunue dawa za kusukutua zipo duka za dawa.Luckyline hapa hujasaidia kutatua tatizo bali kuwananga wanaume uliokutana nao. Kwa taarifa yako mbunye za wanawake 95% zinanuka ni basi tu wanaume wanavumilia. Tena kuna wengine wakivua pants tu harufu inaanza kupanda. Hili halijalishi kama mwanamke ni mzuri/msafi kwa nje.
Wapige mswaki na wanunue dawa za kusukutua zipo duka za dawa.
Kaa mbali na mdomo wake.Ugonjwa wa kunuka mdomo unaongezeka, ukitaka kuthibitisha chunguza ndani ya daladala au mwendokasi, na hata wakati mwingine makanisani.
Sijajua watu wanaugua hivi kwanini lakini nijuacho ni kwamba hakuna watu wakorofi kama wanaonuka mdomo hasa ukiwaambia wananuka mdomo.
Sasa ugonjwa huu umeanza kuvamia na maofisini. Bosi wangu ananuka mdomo, sijui ni kwa sababu hapigi mswaki au ana matatizo ya kiafya.
Nimesema walivyo wakorofi wanaonuka mdomo. Sasa kama bosi ukimwambia kuwa ananuka mdomo, basi ndiyo kabisa, afadhali na wale wa kwenye daladala.
Nisaidieni jinsi ya kumfanya bosi wangu ajijua kuwa ananuka mdomo, maana inanikera.
Constipation inasababisha "namna gani vipi" ichelewe kuwa ejected kule chini. So wajua ikichelewa it means unakuwa umebeba uchafu tumboni.Kwani constipation ina affect vipi kinywa? Mimi nadhani labda wakati wa kucheua. Labda wewe ni Dr. unaweza kutusaidia kutueleza hili.
I wish watu wamefuatilia hii mada labda wengi wataelimika. Kuna na mchangiaji mwingine amenipa somo jingine ni Mwl RTC member wa JF.Constipation inasababisha "namna gani vipi" ichelewe kuwa ejected kule chini. So wajua ikichelewa it means unakuwa umebeba uchafu tumboni.
Thereafter, harufu husafiri kupitia pipe ya utumbo na kurudi kwenye koromeo kama hewa kali sana ya choo.....
Lakini pia halitosis huwa ni bakteria wanaojitengeneza katika kinywa especially eneo la tezi za mate kooni kutokana na uwiano usio sawa (wa kuzidi) tindi kali katika mwili wako kutokana kula vyakula vinavyochochea uzalishaji wa tindi kali mwilini. Hivyo hawa bakteria hujilisha katika eneo hilo na kutengeneza uozo au by product ya harufu kali sana kupita maelezo.
Ukitaka kujua balaa la halitosis, jaribu kunusa vile vimabaki kama punje ya mchele (tonsils stones) ambavyo ukijikohoza kwa nguvu huwa vinatoka, thats the smell of halitosis