Hahaah kama kuna Sanduku la maoni aitupie sioType barua umchane halafu ipost
Hahaah kama kuna Sanduku la maoni aitupie sioType barua umchane halafu ipost
[emoji1]Siku mkifanya office meeting unaweza ukatoa hoja zako na akakuelewa vizuri tu mbona
Unataka kuotesha kibarua chako nyasi..sasa ww hyo harufu inakuzuia nn kufanya mambo yako.ukimwambia jua kabsa na kazi huna
Nimeisoma vizuri na English version yake. Tunarudi kule kule kwamba usipotoa mabaki ya vyakula kwenye mdomo, unazalisha bacteria ambazo ndo chanzo cha mdomo kunuka. Protein foods ndizo hasa mbaya ndo maana ukienda kwenye National parks, Simba wanapotoa miayo harufu yao mbaya saana. (kwa wale ambao wamewaona wamelala).Sio kweli kuwa yule anayenuka mdomo hafanyi yote haya.
Kuna mambo mengi yanayochangia hili tatizo.
Pitia hii thread, kuna mengi yakujifunza kuhusu hili tatizo.
Ni hiviTunarudi kule kule kwamba usipotoa mabaki ya vyakula kwenye mdomo, unazalisha bacteria ambazo ndo chanzo cha mdomo kunuka.
Ndiyo tatizo la JF yaani ukileta shida yako mpaka inafika reply ya 50 unaambulia mizaha tuu, one reason could be kuna watoto wengi humu nowadays....Kwa majibu haya ya hovyo yanayotolewaaa?
angeitaja ofisi ili boss ajifahamu apate ushauri hapa.sawaaa "" lakini " kwaa taarifa yko tu " nikwamba" boss wako " ni member"" wa Jf "" na tayari "" ameshaisoma hii thread "",so jiandae kwa kifuatacho ITV
Ni boss wake kwahiyo kuna wakati wanasogeleana kujadili mambo ya ofisi.Kwani akinuka mdomo inakukwaza nini?....unahitaji denda kutoka kwake?