chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,053
- 34,926
Unamaanisha kweli au umetania tu?Kwani huyo akimedes ni wa chama gani? Ukawa wanamatatizo sana.
Unamaanisha kweli au umetania tu?Kwani huyo akimedes ni wa chama gani? Ukawa wanamatatizo sana.
Displaces it's own what.....?!Floating body displaces its own in which it floats
End of story
teh teh teh mbobeaji."UKIANDIKA WATER UMEKOSA", said the physics teacher.
must be weight. Stand to be correctedDisplaces it's own what.....?!
Tatizo la nchi hii hata wale wanaojiita watalamu wa Kiswahili hawawezi kukwambia etymological origin of Ugiligili! Wanaleta maneno kutoka wapi sijui!KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
Ni balaa tupu hiki Kiswahili.twende na hiki cha kuungaunga maana ugiligili nayo kiboko
Totally - whollyNgoja nikumbuke kidogo:
It states that, "When a body is totally or partially immersed in a fluid it exerts an upward force or upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced."
mkuu.... ugiligili, ... ndio maana tunaunda helkopta kwa injini ya gari
The law states that ...a body totally or partially immersed in a fluid is subject to an upward force equal in magnitude to the weight of fluid it displaces.Displaces it's own what.....?!
Aisee nacheka sana....let me subscribe in this threadKanuni ya kwanza ya mwendo ya Newton,
'_Kila kitu kitakuwa katika hali ya kiswazi kama mwanzo kilikuwa tuko, au kitakuwa ktk hali yards mwendosare, kama kilikuwa ktk mwendo, ama sivyo kiingiliwe na kani kutoka nje
Kuwa....an object will remain at rest or in a state of uniform motion in a straight line unless acted upon by an external force au???Kanuni ya kwanza ya mwendo ya Newton,
'_Kila kitu kitakuwa katika hali ya kiswazi kama mwanzo kilikuwa tuko, au kitakuwa ktk hali yards mwendosare, kama kilikuwa ktk mwendo, ama sivyo kiingiliwe na kani kutoka nje