Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,524
Sasa kumbe ulikuwa unajaribu kunirekebisha nini wakati we ndio unachemka? Check yourself before hujabahatisha bahatisha kukosoa watu!
Umeshinda prof wa fizikia. Mi mpole sijui kulumbana.
Sasa kumbe ulikuwa unajaribu kunirekebisha nini wakati we ndio unachemka? Check yourself before hujabahatisha bahatisha kukosoa watu!
wachina,wajerumani,warusi,wataliano wanafundishaje?..tatizo maneno 'yanavosound' ndo tunaona haifai,ita pombe kama ndiyo tafsiri yakeNdo hivyo sijapenda, imetokea. Turudi kwenye mada. Hivi unafundishaje organic chemistry kiswahili? Kwa mfano alcohol tutaiita pombe?
elimu ya kukariri,pengine alipata A fizikia,ndo mana tnataka wasome kwa lugha wanayoielewaJesus Christ!
You couldn't buy a clue, could you?
Kitu kilichoko kwenye fluid kinakuwa subjected to upthrust, in lay terms kina feel the upthrust, hakiwezi ku exert upthrust!!! Chenyewe ndio kinasukumwa juu, kina experience upthrust!
Yani wewe unanikandya mimi wewe wakati hujui tofauti ya exert and experience? Mtumeeee!
"a floating body displaces its own weight of the fluid in which it floats"Floating body displaces its own in which it floats
End of story
Ugiligili = fluidDuuuh.. Umeniua hapo kwenye ugiligili.. Ndo nn huo???
It experiences and not exertsNgoja nikumbuke kidogo:
It states that, "When a body is totally or partially immersed in a fluid it exerts an upward force or upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced."
"When a body is partially or totaly immersed in a fluid it exprience an upthrust force whch is equal to the weight of the fluid displaced"Ngoja nikumbuke kidogo:
It states that, "When a body is totally or partially immersed in a fluid it exerts an upward force or upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced."
HCL + NaOH = NaCl + H2O. Unaielezeaje hii kiswahilo. Conjugate unaisemaje kiswahili; Equilibrium constant?
Magufuli njoo tusaidie PhD wa chemistry tutafundishaje kemia kiswahili?