Kanuni za Kupata Utajiri

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Kumbukumbu la Torati 8:17-18 Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo. Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Utangulizi
kanuni za Kupata Utajiri ziko upande wote , kwa Mungu, kanuni hizo za Kupata Utajiri hazitokani na uwezo wa mwandamu, ndio maana sio wote ni matajiri ingawa Mungu akuumba maskini

Mungu aliowaumba mwanaume na mwanamke akuumba tajiri na maskini Ila kuwa maskini ni maamuzi ya MTU maana Mungu ndiye anatupa utajiri.

Kanuni ya Kwanza

Agano
Hii ndio kanuni kubwa na ya muhimu kuliko kanuni zote , utajiri wowote lazima kuwe na agano, pasipo hakuna utajiri

Agano
Agano ni mapato baini ya Pande mbili au ziaid , mapatano hayo yanakuwa na sifa zifuatazo

Ili agano liwezekuitwa agano lazima kuwepo na vitu vifuatavyo :-

A. Kihapo
Kwenye agano lolote kuna kihapo, mfano agano la ndoa watu wanahapa kuwa mke na Mume , na kwenye agano la mwanadamu na Miungu kuna kihapo na kihapo kazi yake ni kukufunga nafsi yako na Yule Mungu unayetaka akusaidie

Mfano
MTU alitenda Kwa mganga Kwa ajili ya kutaka kupata utajir kwanza ataulizwa Yuko tayari kufuata masharti na akikubali ,anakuwa tayari ameingia kwenye kihapo na Miungu hiyo ya mganga ambayo itamsaidia kupata Utajiri Kwa lugha Raisi anakubali kuhisujudia hiyo Miungu

Mathayo 4:8-9
[8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.

B.Mapatano
Hapa ndipo kunakuwa na masharti ya vitu vya kufanya na kutokufanya, kwenye mapatano kuna kuambatana na kuwa kitu kimoja mfano kwenye agano la ndoa kuna kuambatana na kuwa kitu kimoja

Kwa upande wa pili
Ukienda kwa mganga ili akupe utajiri utaelekezwa taratibu za kufanya za kiibada labda utakuwa unalala chini , ayo ni mapatano ya kuambatana na hiyo Miungu inayotaka kukusaidia , unapotii Sheria hizo maana yake uko tayari kulinda mapatano

Ruthu 1:16-17
[16]Naye Ruthu akasema, Usinisihi nikuache, Nirejee nisifuatane nawe;
Maana wewe uendako nitakwenda,
Na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu;
[17]Pale utakapokufa nitakufa nami,
Na papo hapo nitazikwa;
BWANA anitende vivyo na kuzidi,
Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.

C: Damu
Damu kwenye agano ni kufanya agano kuwa na uhai, maana Damu imebeba uhai, kwa hiyo ili agano lako kuwa na uhai lazima kuwe na mapatano ya Damu

Mambo ya Walawi 17:11 Kwa kuwa uhai wa mwili u katika hiyo damu; nami nimewapa ninyi hiyo damu juu ya madhabahu, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi zenu; kwani ni hiyo damu ifanyayo upatanisho kwa sababu ya nafsi.

Kwa hiyo kama kwenye Damu kuna uhai na ili agano liwe hai lazima pawepo na kumwaga Damu ndio maana kambi ya upinzani ukienda kutafuta utajiri wataka kwambia Lete kuku kumbe unamwaga Damu ya ndugu yako pasipo kujua , kwa sababu ili agano lako liwe hai wataitaji Damu ya watu wako ndio maana utaambiwa toa mtoto au wazazi au ndugu, unaweza kuambia au kutokuambiwa utaona matoke baada ya kutoa kafara ya kuku kwamba kumbe umemwondoa ndugu yako

Kwa wale ambao wanataka msaada wa Mungu aliye hai katika Kristo Yesu wanataka kuingia kwenye agano la kupata Utajiri kitu cha Kwanza cha kufanya

A. Kihapo
Kubali kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako

Warumi 10:9-10 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.

B. Mapatano
Amua kufuata maelekezo yote ya Mungu kama yalivyo kwa Matendo Kwa kufuata neno la Mungu (Biblia)

Zaburi 119:11 Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi. .

C. Damu

Weka Imani kwa Damu ya Yesu, agano letu la wokovu liko katika Imani ya Damu ya Yesu , Imani yako Kwa Yesu iende sambamba na Imani katika Damu yake ,

Waebrania 9:18,20 Kwa hiyo hata lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.
.
[20]akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu..

Kipengele cha pili kitaendelea
 
Sio kuhapa bali ni kuapa.

Kiapo na sio kihapo.

Andiko ni zuri sana asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom