Bora tuendelee kusoma kwa kizungu maana, kanuni ya akimedes hii hapa!


Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,329
Likes
6,773
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,329 6,773 280
Duuuh.. Umeniua hapo kwenye ugiligili.. Ndo nn huo???
 
Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Messages
2,471
Likes
2,329
Points
280
Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2012
2,471 2,329 280
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.


Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
balaa sana kaka..........hahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
1,083
Likes
137
Points
160
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
1,083 137 160
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.


Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
Mkuu tatizo tulianza kusoma kwa kimombo that's why unaona kituko ila kama tungeanza kwa kiswahili hii ungeona poa tu same as methali zetu ktk swahil subject ukizipeleka kwa kimombo ni kituko
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,461
Likes
1,288
Points
280
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,461 1,288 280
Naitahidi kuelewa lakini chenga kabisa..!!

Kani Mnyanyuo, Ugiligili mwingine pia Ugiligili unamwagika..!!! Hii ni misamiati la lugha gani hapa Ulimwenguni? Na inatumika Nchi gani

BACK TANGANYIKA
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,504
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,504 280
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.


Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa

Haya iseme kwa hicho kiingereza basi!
 
Moo Click

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
470
Likes
144
Points
60
Moo Click

Moo Click

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
470 144 60
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.


Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
hii kaliiii
 
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
9,442
Likes
2,811
Points
280
Age
29
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
9,442 2,811 280
twende na hiki cha kuungaunga maana ugiligili nayo kiboko
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
9,841
Likes
11,671
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
9,841 11,671 280
Ngoja nikumbuke kidogo:
It states that, "When a body is totally or partially immersed in a fluid it exerts an upward force or upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced."
 

Forum statistics

Threads 1,237,521
Members 475,533
Posts 29,291,783