Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When a body is totaly or partial immersed in fluid, it experiences upthrust blah blah blah.....Rejea notes za form 1 mkuu wangu
balaa sana kaka..........hahahaaaaaaaaaaaaaaKANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
Mkuu tatizo tulianza kusoma kwa kimombo that's why unaona kituko ila kama tungeanza kwa kiswahili hii ungeona poa tu same as methali zetu ktk swahil subject ukizipeleka kwa kimombo ni kitukoKANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
When a body is totaly or partial immersed in fluid, it experiences upthrust blah blah blah.....
Ndo kusema ugiligili ni FLUID... kweli kiswahil mtihan
ni ACT Wazalendo.Kwani huyo akimedes ni wa chama gani? Ukawa wanamatatizo sana.
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
hii kaliiiiKANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza wapendwa
akimedes ni wa ccm,ugiligili uliomwagika ndo sisi ukawaKwani huyo akimedes ni wa chama gani? Ukawa wanamatatizo sana.