Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,641
- 3,750
Hahahaaa keshaingia kipindi cha pili sasa ambacho wenye nacho na wasio nachonwote ni sawa. BP, Kisukari n.k ndio vinamsogolea sasa.Fainali uzeeni mkuu; na kwa umri wako hauko mbali na fainali.
Vv
Jamaa kafukua kaburi.Ooh kumbe!
Wote tumetokana na mbunyeNo asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadada
Nna 32 now, sina mtoto na naona nimechelewa sana,
Unajilisha upepo utakuja kujuta!Kaka nnamirad itakayo nsimamia
Mental health is real!Mmh! Sidhani kama unapaswa kujivunia hiyo hali uliyonayo sababu kwa huko unakoelekea msaada wako mkubwa utapatikana ukiwa na mwenza au watoto wako na sio ndugu wala majirani.
Hiyo miradi ukizeeka nani ataiangalia? Kifupi unafanya kazi bure!Kaka nnamirad itakayo nsimamia
π π π tapeli kama tapeli
KabisaKwenye hii post nimetoka na point mbili-;
1 nimegundua humu kataa ndoa hawamo.
Kumbe huwa wanasapot huenda ni stress za mahusiano.
2 huenda team kataa ndoa ina ukomo wa mda/umri.
Na nadhan mwisho wa kataa ndoa ni age ya 35
Daah! Mkuu kwa hali hii watu kama hawa inabidi wacheze karibu na kale kamsemo ka "ukiwa muongo basi uwe na kumbukumbu". ππ
Hawezi kuajiri mtu kwa ajili ya shughuli kama hzo?
Hiyo hali wewe haikupi shida kuona umechelewaMe 35 sio mbaya.