Bora kuwa single!

Ukiwa na uwezo ni kuwa na familia unayoihudumia. Furaha ni kuona wanaokuzunguka wana furaha. Utaona umuhimu wao ukizeeka.

Wewe hapo una tatizo,unaweza usilione kwa sasa. Kujua kwako kupika au kufanya chochote sio shida. Shida utaiona baadae.
 
Kuna tatizo gani binadamu wakitoweka ulimwenguni mkuu?!

Halafu hakuna mtu anayetaka ili watu waendelee kuwepo ulimwenguni au eti ili kizazi cha binadamu kisitoweke duniani, kila mtu anazaa kwa sababu zake binafsi ambazo ndio ubinafsi wenyewe.
 
Nipo Arusha Makao Mapya
Mkuu Jirani Ule Mikongoraa Wanauza Wamasaai
Huenda Ikakusaidia Uoe Kumbuka Elimu Ni Bure
 
Kuna tatizo gani binadamu wakitoweka ulimwenguni mkuu?!

Halafu hakuna mtu anayetaka ili watu waendelee kuwepo ulimwenguni au eti ili kizazi cha binadamu kisitoweke duniani, kila mtu anazaa kwa sababu zake binafsi ambazo ndio ubinafsi wenyewe.
Sababu kuu ya kuzaa ni binadamu kuendelea kuwepo.

Kutoweka binadamu ni tatizo kwa tunaotaka binadamu tuendelee kuwepo ulimwenguni boss.
 
Sababu kuu ya kuzaa ni binadamu kuendelea kuwepo.

Kutoweka binadamu ni tatizo kwa tunaotaka binadamu tuendelee kuwepo ulimwenguni boss.
Binadamu kutoweka duniani ni tatizo kivipi?

Mbona dunia ilikuwa bila binadamu kwa miaka zaidi ya bilioni 14 na ilikuwa kawaida tu?
 
Sema una gundu na wanawake acha kuleta visisngizio vya ajabu ajabu
 
Kumbe masingo hum hawana watetez
Tupo….

Tatizo lako hii haijatoka from a place of “choice “ Probably umekurupuka, na at your age unajua madhara ya mkurupuko.

Binafsi ningekuunganisha na mtu kama wewe, tena mkubwa kwako ana karibia 50 of age, peer wake wanaozesha now yeye hana mke, hana mtoto… Na ana hela ya kushato, ana kula vizuri ana lala pazuri na anaenda gmy kila siku na wala hafanyi umalaya.

Japo i suspect ni HIV positive, i have my reasons which again it’s non of my business. Nilitaka tu kukuonesha watu kama wewe wapo ila fanya maamuzi based on what you wants sio circumstances zikusukume ujikute umekuwa kitu ambacho haukutaka.
 
Sasa kwa nini unatuandikia sisi tuliozaliwa na tunaozaa?

Kama huoni faida ya kuzaana, kuwa peke yako kabisa, usisocialize.
ww kaa pembn kaka maana naona una strss za kifamilia
 
Ngoja uumwe humo ndani, ndugu zako watashtukia umeshakufa. Na ukizeeka huna mtoto ndo taabu utakayoijutia, utafanya kazi za nyumbani una miaka 70?
 
Huenda una sura ya saba mstari wa nane.
Ila kama ukiwa mbaya sura na pesa ipo, wadada hawakataagi, ni wavumilvu mno ikiwepo pesa.

Kwa ushauri wangu tu mjomba, nenda mikoa ya mbali kachumbie kule, angarau upate mtoto wa kurithi mali zako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…