Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

Kwahyo unadhani barmaids hawawezi na wao kua MMU members amaaa??umechunguza deep sana kaka, japo inaweza kua deep in shallow.think again
 
Kunyamaza saa nyingine ni busara na hekima zaidi kuliko kuongea au kuchangia kwa kila kinachokujia katika fikra zako
 
kaz kwenu weny plan y kutafuta mume au mke jf. cc wengine 2narifresh mind xo tabia ya mwan jf hainiaffect chochote ktk ktk plan zang za maisha.
 
Samahani dada.

mi sio dada ako mimi nina wadogo wawili wenye heshima usiniite dada niite masai dada ndo natambulika hivyo,FUTA HUU UZI AU ANDIKA WA KUOMBA MSAMAHA yaani ina maana sisi hatutakiwi kuwa mmu sababu molembe atatuona wahuni looh
 
Back
Top Bottom