Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Mkuu hayo maisha nimeyaishi kwawiki unashiba mara moja shule ada ilikuwa 200 nahaikulipika kwa maisha yangu yaleo sio kama jana lakini bado napambana nipate uhakika wakula kwanza masikini hana mipango mikubwa kama yenu nawanaamani kuliko hao wenye uhakika labda kwenye magonjwa

Siku ukiwakuta masikini wanasema hayo ndoitakuwa namaana hiyo ndomana hata wewe ukiwa namaisha hayo uliamini sio mwisho bado kuna siku utasogea maisha mkuu hayana njia iliyonyooka ndomana utasikia huyu kashuka na yule kapanda hakuna aijue kesho

Wenye hela wanaenda kulipa hela masikini awafurahishe
Tunapishana kwenye wigo wa tafsiri ya umaskini na namna gani umaskini unafanya kazi. Mwisho wa siku wote mpo sahihi ila katika angle tofauti ya umaskini.. ndio maana Kila mtu humu ana definition yake ya umaskini katika scope ambayo yaendana na culture yake na hata mazingira aliyopo

Maskini wa Norway sio sawa na Maskini Dodoma.. na Maskini wa Ngorongoro sio sawa na masikini wa Zuzu
 
Wakuu niajee,

Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.

Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.

Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,

Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana, the world is not fair.

View attachment 3527002
Sema umaskini na ujinga ni mapacha. Mtu unajijua maskini watoto wengi wa nini? Hii picha inawakilisha upumbavu wa maskini wengi. Jitu ni fukara lakini watoto sita. Na hapo anaweza ongeza mke akipata vijisenti. Halafu maskini wengi wana roho mbaya sana.. wanaongoza kwa uchawi na mambo mengine maovu.
 
Mkuu hayo maisha nimeyaishi kwawiki unashiba mara moja shule ada ilikuwa 200 nahaikulipika kwa maisha yangu yaleo sio kama jana lakini bado napambana nipate uhakika wakula kwanza masikini hana mipango mikubwa kama yenu nawanaamani kuliko hao wenye uhakika labda kwenye magonjwa

Siku ukiwakuta masikini wanasema hayo ndoitakuwa namaana hiyo ndomana hata wewe ukiwa namaisha hayo uliamini sio mwisho bado kuna siku utasogea maisha mkuu hayana njia iliyonyooka ndomana utasikia huyu kashuka na yule kapanda hakuna aijue kesho

Wenye hela wanaenda kulipa hela masikini awafurahishe
akina chaaba na dudukwee tunainjoy sana haya maisha aise dah :HAhaa:

ni vizuri sana ikafahamika kwamba kujuta kuzaliwa ni laana, na kuchukia zawadi ya maisha alokujalia Mungu ni kufuru ya kiwango kibaya sana gentleman:HAhaa:
 
Umeona sasa jinsi unavyodhihirisha upopoma wako mi naongea hili wewe unaongea verse versa
I'm sorry gentleman :pedroP:

to be honest,
inatubidi tufanye kazi kwa bidii sana gentleman,
ili hatimae kujikwamua kutoka katika unyonge wa kiuchumi ambao ndio mara nyingi hupelekea vijana wengi kuwaza mambo ya kutamani kufa badala ya kutamani maisha mazuri na bora zaidi.

kukata tamaa ya maisha ni ushirikina.
 
Hii sio sawa, hukuwa na sababu ku comment hivi kwenye Uzi wa mtu, hujui anapitia Nini, ungepita tu, kuwa muungwana, maisha wakati mwingine ni magumu sana, Dhihaka kama hizi waachie watu wasiojielewa.
Yeye ndo kaanza dhihaka kwa maskini , afe kwanza yeye kama anaona umaskini ni bora ya kifo, hakuna kupetipeti kauli za kijinga.
 
Life is a game but it’s not fair

Nauchukia sana umasikini aisee..!
Kusema kweli umasikini ni laana, tunatakiwa kuuchukia na kuukataa japo ni kweli kuwa masikini lazima wawepo duniani ili ku-balance mambo.

Basi hata tusiwe matajiri, tuwe na maisha bora kwa standard za individuals.
 
Umaskini si laana, ni hali ya muda tu. Kuwa masikini hakumaanishi kuwa maisha yako hayana maana au thamani. Hali hiyo inaweza kuumiza, kudhalilisha, au kufanya maisha yawe magumu, lakini bado uhai ni nafasi ya kubadilisha, kujifunza, na kupambana. Kila mtu ana nafasi ya kuleta mabadiliko – kwa juhudi, busara, na subira. Laana halina nguvu zaidi ya ile unayoikubali; maisha hayapimwi kwa mali, bali kwa uwezo wa kusimama hata baada ya kushuka.
Chart GPT[emoji3062]
 
Kusema kweli umasikini ni laana, tunatakiwa kuuchukia na kuukataa japo ni kweli kuwa masikini lazima wawepo duniani ili ku-balance mambo.

Basi hata tusiwe matajiri, tuwe na maisha bora kwa standard za individuals.
Kusema kweli, umasikini ni laana. Tunatakiwa kuukataa na kuuchukia, japo ukweli ni kwamba masikini lazima wawepo duniani ili kuwe na balance katika mambo. Lakini hilo halimaanishi hatuwezi kuwa na maisha bora kwa standard zetu binafsi. Hata kama hatutakuwa matajiri, tunaweza kuhakikisha maisha yetu ni ya heshima, yenye thamani, na yenye uelewa wa kudhibiti hali zetu.
 
Kusema kweli umasikini ni laana, tunatakiwa kuuchukia na kuukataa japo ni kweli kuwa masikini lazima wawepo duniani ili ku-balance mambo.

Basi hata tusiwe matajiri, tuwe na maisha bora kwa standard za individuals.
Umeona eeh!

Yani kuna vile vitu basic tu tusikose 🤌🏾

Ata kama sio majumba sijui nini, atleast tusikose vile vya muhimu si ndio? Yaani masikini anaambulia tu watoto duhh
 
Umeona eeh!

Yani kuna vile vitu basic tu tusikose 🤌🏾

Ata kama sio majumba sijui nini, atleast tusikose vile vya muhimu si ndio? Yaani masikini anaambulia tu watoto duhh
Kabisa, basic needs zisipatikane kwa kutumia nguvu nyingi sana. Unakuta chakula tu hadi tutumie nguvu, kulala kodi hadi mtu anataka kufukuzwa na landlord...mahitaji kama hayo tusitumie nguvu kuyapata.
 
Back
Top Bottom