Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,856
- 99,877
Stresses zao ni kwa kunyeshewa na mvua au kipigo/kuwindwa na binadamu tu.Mengine wanasongesha kiasili.Hata wao huwa wanapata stress
Stresses zao ni kwa kunyeshewa na mvua au kipigo/kuwindwa na binadamu tu.Mengine wanasongesha kiasili.Hata wao huwa wanapata stress
Kuna kipindi unapitia unaweza amka tu usiku wa manane ukaanza kulia bila kupigwa weewe😂umasikini ni adhabu mbaya sana
Nini maana ya maisha kama huna chakula,malazi,mavazi,..nk
Ndiyo, umasikini unaumiza. Lakini kuacha kuishi kwa sababu ya maumivu ni kumpa umasikini ushindi wa mwisho.Nimetoka kumwambia mtu kitu hiki,akanibishia sana muda si mrefu.
Umasikini unauma,unaumiza,unadhalilisha na kufedhehesha sn.
Mbona we ni kapuku na uko hai unasubiri nini?
UJUMBE:Usisikitike kwa kuona waridi lina miiba.Bali furahi ya kwamba miiba ndiyo iliyobeba waridi.Magumu ya maisha yasikufanye ukakata tamaa hadi kuwaza na kumkufuru Muumba wako.ni kweli lakini hao ndege tofautisha na human
Kaka sometime mtu unawaza bora upumzike. Maumivu yanazidiHii sio sawa, hukuwa na sababu ku comment hivi kwenye Uzi wa mtu, hujui anapitia Nini, ungepita tu, kuwa muungwana, maisha wakati mwingine ni magumu sana, Dhihaka kama hizi waachie watu wasiojielewa.
Laana ya umasikini ni mbaya sanaUmaskini ni laana
Umaskini si laana, ni hali ya muda tu. Kuwa masikini hakumaanishi kuwa maisha yako hayana maana au thamani. Hali hiyo inaweza kuumiza, kudhalilisha, au kufanya maisha yawe magumu, lakini bado uhai ni nafasi ya kubadilisha, kujifunza, na kupambana. Kila mtu ana nafasi ya kuleta mabadiliko – kwa juhudi, busara, na subira. Laana halina nguvu zaidi ya ile unayoikubali; maisha hayapimwi kwa mali, bali kwa uwezo wa kusimama hata baada ya kushuka.Umaskini ni laana
Yani hapo sijaelewa unaishije huna kila kitu..Ndiyo, umasikini unaumiza. Lakini kuacha kuishi kwa sababu ya maumivu ni kumpa umasikini ushindi wa mwisho.
Kukata tamaa ni mzizi wa dhambi.Kwa maana humo kuna mawazo mabaya,kulaani hovyo,chuki,hasira,uchungu na maamuzi mabaya.Usikate tamaa,jipe moyo!Kaka sometime mtu unawaza bora upumzike. Maumivu yanazidi
Natamani kuandika ila AKILI IPO FASTA KULIKO VIDOLEWakuu niajee,
Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.
Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.
Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,
Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana, the world is not fair.
we usikie tu umasikiniUmaskini si laana, ni hali ya muda tu. Kuwa masikini hakumaanishi kuwa maisha yako hayana maana au thamani. Hali hiyo inaweza kuumiza, kudhalilisha, au kufanya maisha yawe magumu, lakini bado uhai ni nafasi ya kubadilisha, kujifunza, na kupambana. Kila mtu ana nafasi ya kuleta mabadiliko – kwa juhudi, busara, na subira. Laana halina nguvu zaidi ya ile unayoikubali; maisha hayapimwi kwa mali, bali kwa uwezo wa kusimama hata baada ya kushuka.
Kukosa ni hali, kukata tamaa ni uamuzi.maisha haya maana kama hupati basic needs au unapata kwa uchache,
Kukosa ni hali, kukata tamaa ni uamuzi.maisha haya maana kama hupati basic needs au unapata kwa uchache,