Thesonboy
JF-Expert Member
- Nov 20, 2025
- 901
- 2,493
Legally rafiki yangu.Legally or illegally😁
Legally rafiki yangu.Legally or illegally😁
Ukikosa upande huo?Legally rafiki yangu.
Hali ya kifedha haifuti thamani ya akili, lakini inaathiri jinsi wengine wanavyokiona.Umasikini ni laana, hakuna cha hali ya muda wala hali ya kudumu. Hakuna masikini anaaminiwa na ndio maana hata hekima ya maskini yaonekana kama upumbavu hata kama una sound good
Jitahidi kuondoa neno "si rahisi" ili ujinyooshee mapito yako.Usijiandalie kushindwa kabla ya kushindwa yenyewe haijakutembelea.Sio rahisi kama unavyoongea
Ikija kila siku utakuwa tajiri.hio riziki haiji kila siku
Ni kweli kabisa. Kuna watu wanaishi maisha haya mpaka wanazoea, moyo unapata ganzi, huna cha kupoteza wala cha kuogopa. Lolote liwe. Lakini hapo ndipo hatari ilipo. Si kila anayevumilia moto anakuwa ushuhuda; wengine wanachomwa taratibu bila kelele. Kuwa living testimony si lazima upitie kila kiwango cha maumivu, bali utoke kabla moto haujafanya hasara ya kudumu kwa akili na mwelekeo. Uzoefu una nguvu, lakini si kila mateso yana hekima.Haimaanishi sawaa, lakini kuna watu wanayaishi haya maisha moaka wakeshazoea na hana cha kupoteza ameshapata ganzi ya moyo lolote na liwe!
Kwahiyo mpaka uje uwe the living testimony cha moto unakuwa umekipata!
Siwezi kosa hata Kwa njia legally. Binafsi nakutana na mitego mingi sana ya kuniingiza kwenye illegal activities kutokana na kazi ninazofanya ila huwa hawaamini nakataaga mkavu na baada ya hapo huwa navunja mawasiliano au urafiki kama ulikuwepo. Nahitaji mali iliyo safi nikiwa na amani na utulivu sio mashaka mashaka.Ukikosa upande huo?
Kuna scope pana sana ya neno umaskiniHali ya kifedha haifuti thamani ya akili, lakini inaathiri jinsi wengine wanavyokiona.
Dahh!! Umasikini sio.. nikiona wale wazee walio kwenye upangaji ndio nachoka kabisa!Ni kweli kabisa. Kuna watu wanaishi maisha haya mpaka wanazoea, moyo unapata ganzi, huna cha kupoteza wala cha kuogopa. Lolote liwe. Lakini hapo ndipo hatari ilipo. Si kila anayevumilia moto anakuwa ushuhuda; wengine wanachomwa taratibu bila kelele. Kuwa living testimony si lazima upitie kila kiwango cha maumivu, bali utoke kabla moto haujafanya hasara ya kudumu kwa akili na mwelekeo. Uzoefu una nguvu, lakini si kila mateso yana hekima.
mawazo ya kilofa sana hayo gentleman dah,Wakuu niajee,
Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.
Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.
Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,
Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana, the world is not fair.

Hebu nipe mimi hiyo michongo nikuletee testimony 🤭Siwezi kosa hata Kwa njia legally. Binafsi nakutana na mitego mingi sana ya kuniingiza kwenye illegal activities kutokana na kazi ninazofanya ila huwa hawaamini nakataaga mkavu na baada ya hapo huwa navunja mawasiliano au urafiki kama ulikuwepo. Nahitaji mali iliyo safi nikiwa na amani na utulivu sio mashaka mashaka.
Mental casemawazo ya kilofa sana hayo gentleman dah,
eti Bora kufa kuliko kuliko kuishi ukiwa masikini
akina dudukwee na chaaba wanaishi kwa furaha na amani tele na hawana hata kumi mfukoni halafu wewe unajivika dhana ya hovyo hivyo akilini? kweli?
kua tajiri au maskini Tanznia ni uamuzi binafsi wa mtu, hayupo wa kumsingizia hali hiyo.
infact,
uoga wako ndio umaskini wako.
Tenda wema uende zako![]()
Umaskini unaweza kupunguza kila kitu isipokuwa moyo wa mtu kuendelea.Kuna scope pana sana ya neno umaskini
Kuchoka si kushindwa; kushindwa ni kukata tamaa wakati bado una nafasi ya kupiga hatua.Dahh!! Umasikini sio.. nikiona wale wazee walio kwenye upangaji ndio nachoka kabisa!
🥲🥲🥲✌️✌️✌️😃😃😃😃😇😇Mental case