Jibu gani mkuu Euphra!😄umepewa jibu mujarabu 😂
Uroto unaenda kuisha?😄😄😄😄 bado kidogo mkuu!!Nikuwe mara ngapi kila siku nakwambia uroto ndio unaishilia🤌🏾🥹
Hebu nielekeze ipoje?
Si ndio😃 taim iz ovaa🙆🏽♀️Uroto unaenda kuisha?😄😄😄😄 bado kidogo mkuu!!
kwamba upendane na mke wako 😂Jibu gani mkuu Euphra!😄
kuna jamaa uku canada yuko kama ww nae huwa anasema n bora kufa kuliko kuishi nchi za ulimwengu wa tatu.....Wakuu niajee,
Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.
Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.
Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,
Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana, the world is not fair.
View attachment 3527002
Usifanye utani mkuu, Me hali Ke mmoja na unalijua hilo😋kwamba upendane na mke wako 😂
Hii picha ni ya AI