Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

😅 Mie binafsi upwiru sio issue, huwa naupuuza, commitment sio lazima uwe kwenye ndoa, ila zaweza kuja Kwa mtu una amani na furaha nae na ukaona huyu ndie furaha na amani yangu.. so unajipinda kuitunza hiyo furaha na amani Kwa resources zote
Sawa sawa! Kila mtu na mtazamo wake binafsi sipo kwenye umri wa kuwa committed na mtu anyhowly 🫢
 
Sema umaskini na ujinga ni mapacha. Mtu unajijua maskini watoto wengi wa nini? Hii picha inawakilisha upumbavu wa maskini wengi. Jitu ni fukara lakini watoto sita. Na hapo anaweza ongeza mke akipata vijisenti. Halafu maskini wengi wana roho mbaya sana.. wanaongoza kwa uchawi na mambo mengine maovu.
Ndio maana nilifunguaga uzi hapa kuhusu hili suala la maskini kuzaa watoto kama panya kwa imani uchwara za kila mtoto huja na sahani yake.
 
Thamani ya mtu ni Nini?
Thamani ya mtu haipimwi kwa pesa aliyonayo, kazi aliyonayo, wala hali aliyonayo kwa sasa. Thamani ya mtu ipo kwenye utu wake, maamuzi yake, na uwezo wake wa kusimama hata anapokuwa hana. Pesa hubadilika, hali hubadilika, lakini utu na mwelekeo wa mtu ndivyo vinavyombeba maisha yote.
 
Umasikini si mwisho wa maisha wala kipimo cha thamani ya mtu. Maisha yana maana hata kabla ya utajiri, na wengi waliofanikiwa walianzia chini kabisa. Bora kuishi, kujifunza, na kupambana kuliko kukata tamaa.
Kama bora kuishi basi ni kheri ukaishi porini mbali na walimwengu hawa wanatupa frustration sana.
 
Back
Top Bottom