StreetMindTZ
Member
- Jan 5, 2026
- 62
- 154
Umasikini si mwisho wa maisha wala kipimo cha thamani ya mtu. Maisha yana maana hata kabla ya utajiri, na wengi waliofanikiwa walianzia chini kabisa. Bora kuishi, kujifunza, na kupambana kuliko kukata tamaa.Wakuu niajee,
Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.
Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.
Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,
Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana, the world is not fair.