Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Hebu nipe mimi hiyo michongo nikuletee testimony 🤭
Hapana kwakweli.. tafuta haki yako legally na Mungu atakubariki 😁

Binafsi likija hapo kwenye illegally nimeisha shindwa na Sina huo ujasiri, japo jamaa wanakuja na ushawishi nahitaji amani yangu Kwa hela yangu ambayo naingiza Kwa kazi ya mikono yangu inanipa amani
 
Umaskini unaweza kupunguza kila kitu isipokuwa moyo wa mtu kuendelea.
Ingekuwa Kuna practical ya umaskini ungeenda jaribu ukaja na majibu na hiki unachosema. Bahati nzuri nimeishi umaskini nimetokea kwenye umaskini nimepambana . Naelewa maisha ya umaskini ninapo sema laana naielewa hiyo laana ya umaskini
 
sure gentleman,
that is pure mental case scratching your mind,
how come unatamani kufa kilofa hivyo aise? :pedroP:

na miongoni mwa dalili za mtu mwenye mentla issue ni pamoja na kuwaza na kisha kutenda jambo ambalo litamuathiri, litamuumiza na pengine kumuangamiza yeye mwenyewe:pedroP:
Screenshot_20250720-193211~2.jpg

you should be here right now
 
Ingekuwa Kuna practical ya umaskini ungeenda jaribu ukaja na majibu na hiki unachosema. Bahati nzuri nimeishi umaskini nimetokea kwenye umaskini nimepambana . Naelewa maisha ya umaskini ninapo sema laana naielewa hiyo laana ya umaskini
Umaskini unaweza kuumiza, lakini uzoefu wake unakuza mtu – ashindwe tu siyo mwisho wake.
 
Hapana kwakweli.. tafuta haki yako legally na Mungu atakubariki 😁

Binafsi likija hapo kwenye illegally nimeisha shindwa na Sina huo ujasiri, japo jamaa wanakuja na ushawishi nahitaji amani yangu Kwa hela yangu ambayo naingiza Kwa kazi ya mikono yangu inanipa amani
Nimeshabarikiwa sana bwana we nipe tu hiyo case ndogo sana kwangu🤓
 
Wewe ukiweka kwenye hio zone ya umasikini 1hr unalala mbele
Mkuu hayo maisha nimeyaishi kwawiki unashiba mara moja shule ada ilikuwa 200 nahaikulipika kwa maisha yangu yaleo sio kama jana lakini bado napambana nipate uhakika wakula kwanza masikini hana mipango mikubwa kama yenu nawanaamani kuliko hao wenye uhakika labda kwenye mago
 
👊
 
Umaskini unaweza mkomaza mtu na uka mmaliza mtu. Kuna familia uki trace background unakuta hakunaga mtu anafakiwa hiyo koo au familia
Ndiyo, umaskini unaweza mkomaza mtu na hata kumaliza. Ukichunguza familia kwa undani, unagundua mara nyingine hakuna mtu aliye na nguvu ya kumsaidia, kila mmoja anajikuta anafungwa na hali yake. Hali hiyo si laana tu, ni ukweli wa maisha ambayo wengi hatupati nafasi ya kuelezea. Lakini hata pale, bado mtu ana nafasi ya kupambana, kutafuta mwelekeo, na kubadilisha historia yake.
 
Umaskini na utajiri ni mapito ya mja!!

Sio laana Wala baraka Kwa mja,ni safari TU ya maisha ambayo Muumba humpitisha Kila mja ili kujua ukuu wa muumba na tafsiri kuhusu maisha!!

Umaskini sio Laana Wala utajiri sio baraka bali ni sehemu ya safari TU kwenye maisha!!kwanini!!?Kwa sababu vyote havidumu kizazi Hadi kizazi,vyote huja na kuondoka hakuna situation ambayo ni permanent kwenye maisha ya mtu!!

Unaweza ukapewa utajiri na usikupe furaha ya kweli na ukatamani umaskini ili uwe huru kuliko kujificha kulindwa mashaka hasira uchungu na n.k!!

Utajiri au umaskini huja tu Kwa mtu kwa majira yake ,japo wote wanafanya kazi kwa mazingira tofauti!!
 
Ndiyo, umaskini unaweza mkomaza mtu na hata kumaliza. Ukichunguza familia kwa undani, unagundua mara nyingine hakuna mtu aliye na nguvu ya kumsaidia, kila mmoja anajikuta anafungwa na hali yake. Hali hiyo si laana tu, ni ukweli wa maisha ambayo wengi hatupati nafasi ya kuelezea. Lakini hata pale, bado mtu ana nafasi ya kupambana, kutafuta mwelekeo, na kubadilisha historia yake.
Nimeona laana, kwasababu umaskini unaweza hamishika kutoka Kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Na nimeuta laana kwasabu kunakuwa hakuna fruit positive ila ni negative tu
 
Wewe ukiweka kwenye hio zone ya umasikini 1hr unalala mbele
Mkuu hayo maisha nimeyaishi kwawiki unashiba mara moja shule ada ilikuwa 200 nahaikulipika kwa maisha yangu yaleo sio kama jana lakini bado napambana nipate uhakika wakula kwanza masikini hana mipango mikubwa kama yenu nawanaamani kuliko hao wenye uhakika labda kwenye magonjwa
Ingekuwa Kuna practical ya umaskini ungeenda jaribu ukaja na majibu na hiki unachosema. Bahati nzuri nimeishi umaskini nimetokea kwenye umaskini nimepambana . Naelewa maisha ya umaskini ninapo sema laana naielewa hiyo laana ya umaskini
Siku ukiwakuta masikini wanasema hayo ndoitakuwa namaana hiyo ndomana hata wewe ukiwa namaisha hayo uliamini sio mwisho bado kuna siku utasogea maisha mkuu hayana njia iliyonyooka ndomana utasikia huyu kashuka na yule kapanda hakuna aijue kesho
plz gentleman,
don't kill yourself bcoz of your poverty mindset and status, :pedroP:

JF itapata wapi tena lofa mwingine mwenye mawazo ya kibwege kama wewe gentleman? don't plz kill yourself bana

jifunze kwa dudukwee na chaaba kuinjoy life regardless of poverty status
Wenye hela wanaenda kulipa hela masikini awafurahishe
 
Nimeona laana, kwasababu umaskini unaweza hamishika kutoka Kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Na nimeuta laana kwasabu kunakuwa hakuna fruit positive ila ni negative tu
Nimeona laana ya kweli ya umaskini. Kwa sababu umaskini unaweza kuhamia kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, mara nyingi hakuna matokeo chanya – yote ni negative tu. Hali hiyo inadhulumu akili, moyo, na mwelekeo wa mtu. Lakini hata pale, uzoefu huu unaweza kuwa funzo: unakufundisha kupambana, kuthamini kile unachonacho, na kutafuta njia ya kubadilisha historia.
 
plz gentleman,
don't kill yourself bcoz of your poverty mindset and status, :pedroP:

JF itapata wapi tena lofa mwingine mwenye mawazo ya kibwege kama wewe gentleman? don't plz kill yourself bana

jifunze kwa dudukwee na chaaba kuinjoy life regardless of poverty status
Umeona sasa jinsi unavyodhihirisha upopoma wako mi naongea hili wewe unaongea verse versa
 
Back
Top Bottom