makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,550
Bora kufa kuliko kuishi..!!!!!!!????????
Ingia mtaani tafuta maskini hata 100.
Waulize swali moja kwa kila mmoja
"nikupe bilioni 1 usiku huu, ila kesho uamke umekufa, ama nisikupe uendelee kuishi"
Wengi watachagua kuishi.
Utagundua,
Umaskini si sababu ya kusema bora kufa,
Ingia mtaani tafuta maskini hata 100.
Waulize swali moja kwa kila mmoja
"nikupe bilioni 1 usiku huu, ila kesho uamke umekufa, ama nisikupe uendelee kuishi"
Wengi watachagua kuishi.
Utagundua,
Umaskini si sababu ya kusema bora kufa,