Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Kabisa, basic needs zisipatikane kwa kutumia nguvu nyingi sana. Unakuta chakula tu hadi tutumie nguvu, kulala kodi hadi mtu anataka kufukuzwa na landlord...mahitaji kama hayo tusitumie nguvu kuyapata.
exactly hiki ndicho huwa najiuliza sana, yani kuna mtu ata vocha tu mpaka aisotee wee, bill ikija anakosa amani anagombana na anaochangia nao! Kodi,mavazi etc ni kasheshe! Mungu atusaidie sana!
 
Mie nakuachia kadi ya bank, utajua utavyo itumia 😅😅..

Ndio maana nasema Kwa kijana kama mfuko haupo na amani, ni vyema akajitenga na mapenzi, kuliko kukutana na fedheha kama hizi, maana kutokuwa na mpenzi au sex hufi.. bora upate hela kwanza
 
Wakuu niajee,

Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.

Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.

Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,

Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana, the world is not fair.

View attachment 3527002
Hizo picha ni AI
 
Mie nakuachia kadi ya bank, utajua utavyo itumia 😅😅..

Ndio maana nasema Kwa kijana kama mfuko haupo na amani, ni vyema akajitenga na mapenzi, kuliko kukutana na fedheha kama hizi, maana kutokuwa na mpenzi au sex hufi.. bora upate hela kwanza
Ajitenge na ngono halafu nyege zinaishaji, siku hizi wananunua hata kwa 5k, ngono sio issue tena kama zamani, ipo mda wote kwa gharama ya chini sana😄
 
Upatikanaji wa ngono kiurahisi nalo limekuwa uzalishaji wa magonjwa ya ngono. Ngono kuanzia bure mtu anapata ila gharama zake baada ya bure ni msala. Ila kupata mapenzi Kwa elfu 5k ndio Kasheshe hapo.. na kinachokata kiu ya ngono ni mapenzi na sio kundinyana au nasema uwongo Seran 😅
 
Huu ni mtego sio😂 hebu lete hiyo card tuone inakuwagaje 😈

Sasa kuna watu wana penda mapenzi kama masikini? Uweeehh!!
 
Naskia mpaka viwili kwa 1500 zipo kwaio ni nyie tu Kwahiyo mpunguze thread za malalamishi sasa, ooh wanawake wanapenda pesa, wakati zipo za almost nothing to give 😅
 
Huu ni mtego sio😂 hebu lete hiyo card tuone inakuwagaje 😈

Sasa kuna watu wana penda mapenzi kama masikini? Uweeehh!!
😅😅 Hadi niwe committed ndio natoa card.

Maskini wanapenda ngono ( wanafikiri inapunguza stress ) na sio mapenzi. Jamani mapenzi gharama, kama hela haipo ngumu ku afford
 
Upatikanaji wa ngono kiurahisi nalo limekuwa uzalishaji wa magonjwa ya ngono. Ngono kuanzia bure mtu anapata ila gharama zake baada ya bure ni msala. Ila kupata mapenzi Kwa elfu 5k ndio Kasheshe hapo.. na kinachokata kiu ya ngono ni mapenzi na sio kundinyana au nasema uwongo Seran 😅
Ndio najifunza kutoka kwenu ma-legendary mi najulia wapi😅

Sijawahi kuiuza anyways sasa nashindwa kucompare na ku contrast 🤣💔
 
Naskia mpaka viwili 1500 kwaio ni nyie tu Kwahiyo mpunguze thread za malalamishi sasa, ooh wnaawake wanapenda pesa 😅
😅😅😅 Hiyo ni ngono a.k.a kundinyana.. ambayo nyege hazikati utakaa siku mbili tatu wataka tena.. Kuna ile una shiriki kunakuwa na deep intimacy na makololo yooote yaniii mahabati Ultra, ukimaliza kuanzia mwili, akili na afya imeimalika.. sio hizo ngono unamaliza upo hujielewi na mashaka juu
 
😅😅 Hadi niwe committed ndio natoa card.

Maskini wanapenda ngono ( wanafikiri unapunguza stress ) na sio mapenzi. Jamani mapenzi gharama, kama hela haipo ngumu ku afford
Kuwa committed tena woii!

Mapenzi yanahitaji akili(kuyafikiria) na moyo pia afu ni gharama(mawasiliano) japo sio wote.. sasa ukiwa aoccupied na silesi za hujala sijui kodi mapenzi yanakuwa sio priority tena ndipo utakapomkosa mpenzi,

Mfano ukiangalia vijijini wengi wanajiolea mapema wakati mwanamke hajajitambua kisha kumzalisha watoto 12 huko, hasira zote zinahamia kuzalisha mwanamke mpk aje azinduke hawezi tena kuchomoa..
 
😅😅😅 Hiyo ni ngono a.k.a kundinyana.. ambayo nyege hazikati utakaa siku mbili tatu wataka tena.. Kuna ile una shiriki kunakuwa na deep intimacy na makololo yooote yaniii mahabati Ultra, ukimaliza kuanzia mwili, akili na afya imeimalika.. sio hizo ngono unamaliza upo hujielewi na mashaka juu
Kwani ninyi mnataka kupunguza vichupa au? Si tumekubaliana ni kutoa upwiru tu, hizo commitment zipo kwenye ndoa kitu ambacho hujawa tayari nacho kwa sasa!

Yaani hizo deep intimacy sjui nn ni gharama huwezi kuwa hivyo na yoyote tu! Lazima m-click eeh! Sijui unanielewa? Hiyo ya baada ya jambo uanze mashaka sjui majuto kama bate ndo kitu mnataka!
 
Kuwa committed tena woii!

Mapenzi yanahitaji akili(kuyafikiria) na moyo pia afu ni gharama(mawasiliano) japo sio wote.. sasa ukiwa aoccupied na silesi za hujala sijui kodi mapenzi yanakuwa sio priority tena ndipo utakapomkosa mpenzi,

Mfano ukiangalia vijijini wengi wanajiolea mapema wakati mwanamke hajajitambua kisha kumzalisha watoto 12 huko, hasira zote zinahamia kuzalisha mwanamke mpk aje azinduke hawezi tena kuchomoa..
😅😅 Tutazungumza mengi. Kinacho hitajika ni MONEY 🤑

Wenye shida ya mapenzi wazisake, sio wengine mapenzi sio basic needs
 
Kwani ninyi mnataka kupunguza vichupa au? Si tumekubaliana ni kutoa upwiru tu, hizo commitment zipo kwenye ndoa kitu ambacho hujawa tayari nacho kwa sasa!

Yaani hizo deep intimacy sjui nn ni gharama huwezi kuw ahivyo na yoyote tu! Lazima m-click eeh! Sijui unanielewa? Hiyo ya baada ya jambo uanze mashaka sjui majuto kama bate ndo kitu mnataka!
😅 Mie binafsi upwiru sio issue, huwa naupuuza, commitment sio lazima uwe kwenye ndoa, ila zaweza kuja Kwa mtu una amani na furaha nae na ukaona huyu ndie furaha na amani yangu.. so unajipinda kuitunza hiyo furaha na amani Kwa resources zote
 
Back
Top Bottom