Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Shindano la Stories of Change(2022)

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
4,996
SOC 2022 (Facebook).png

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”

Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kisheria kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, JF inaratibu jukwaa la JamiiForums.com ambalo ni maarufu duniani kwa maudhui ya Kiswahili na tovuti namba moja ya Kitanzania kwa wingi wa watembeleaji.

Katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni, kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma unaweza kupata habari/taarifa bora, JamiiForums ilibuni shindano liitwalo Stories of Change linalolenga kuwapa nafasi raia wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko.

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, shindano linalenga kuhamasisha ushiriki wa raia yakiwemo makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu ya kwanza ya shindano hili ilifanyika kuanzia Julai hadi Oktoba 2021 ambapo jumla ya wananchi 1,509 walishiriki na kuandika jumla ya stori 1,536 na 936 kati yao kupitishwa kuingia kwenye shindano. Maudhui yaliyoshindanishwa yalihusu Maisha na Jamii (264), Uchumi, Ujasiriamali na Biashara (237), Utawala Bora (124), Afya (97), Elimu (83), Sayansi na Teknolojia (48), Kilimo na Ufugaji (33), Mahusiano (25), Mazingira (23) na Dini/Imani (2).

Washindi bora watano walikabidhiwa zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam mwezi Oktoba 2021.

Miongoni mwa maudhui yaliyowasilishwa yameweza kuleta mabadiliko katika mfumo wa utoaji huduma katika taasisi za Serikali huku baadhi ya taasisi zikipokea mapendekezo na kuahidi kufanyia kazi.​

Awamu ya Pili (2022)
Kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika awamu ya kwanza ya shindano, JamiiForums ikishirikiana na Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (SJMC) na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) imeandaa Awamu ya Pili ya Shindano la “Stories of Change” litakaloanza Julai 15, 2022 na kuisha Septemba 14,2022.​

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:
  • Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya.
  • Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili lenye maneno kati ya 800 - 1000.
  • Machapisho yanatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Ubwakuzi (Plagiarism) hautaruhusiwa
  • Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki atalazimika kutaja chanzo
  • Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi endapo ataibuka mshindi
  • Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili
Jinsi ya kushiriki:
  • Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yake itamlazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums.
  • Maandiko yawasilishwe kati ya Julai 15 – Septemba 14, 2022 kwenye jukwaa la “JF Stories of Change” (Stories of Change )
  • Baada ya kuweka andiko jukwaani, mshiriki atatakiwa AJITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kumpigia kura.
ZINGATIA: Mshiriki anaweza kuandika mara nyingi kadiri awezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Upatikanaji wa Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo

Zawadi Kwa Washindi zitakuwa kama ifuatavyo:-

Mshindi wa Kwanza atapata fedha taslimu shilingi Milioni 5
Mshindi wa Pili atapata fedha taslimu shilingi Milioni 3
Mshindi wa Tatu atapata fedha taslimu shilingi Milioni 2
Mshindi wa Nne atapata fedha taslimu shilingi Milioni 1
Mshindi wa Tano atapata fedha taslimu shilingi Laki 5
Mshindi wa Sita Mpaka wa Kumi watapata fedha taslimu shilingi laki 3 kila mmoja
Mshindi wa Kumi mpaka wa Ishirini watapata fedha taslimu shilingi laki 2 kila mmoja

Imetolewa na;
Jamii Forums

Masharti na vigezo soma Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)
 
Mmekuja tena. Ila kigezo cha kura mkiondoe tu. Sina hamu na nyie kura nyingi ila hatukushinda. Na tuna waomba moderators msihamishe nyuzi zetu bwana. Kingine mtueleze kampeni zinaruhusiwa au hapana. Changamoto zangu nilizo ziona kwa awamu ya kwanza ndio hizo.

Nipo chimbo naandaa uzi
 
Mtuelekeze na jinsi ya kupiga kura
View attachment 2288724

asanteni kwa kazi nzuri mnayoifanya. lkn napenda kuuliza mbona kichwa cha habari cha uwajibikaji kipo kwenye bango lkn huku kwenye vigezo na mashariti haija ainishwa.
 
Habari mods,nilituma Uzi wangu kule ila mpaka Leo sijauonaa
 
Sawa.
 
Andiko langu linakuja andaeni votes wakuu tupigiane
 
Mmekuja tena. Ila kigezo cha kura mkiondoe tu. Sina hamu na nyie kura nyingi ila hatukushinda. Na tuna waomba moderators msihamishe nyuzi zetu bwana. Kingine mtueleze kampeni zinaruhusiwa au hapana. Changamoto zangu nilizo ziona kwa awamu ya kwanza ndio hizo.

Nipo chimbo naandaa uzi
Samahani ili kuandika,unaandikia wapi?
 
Naitwa KASTORI KALITO nashiriki katika shindano la "STORIES OF CHANGE" 2022 -Jamii forums . Nimeandika Makala mbili kama ifuatavyo;

1.Mitandao ya kijamii, fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu, Gundua fursa zisizoonekana

2.Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu. Tembelea hapo soma makala, kalibu kwa mjadala Ukivutiwa na Makala zangu naomba kura yako .
 
Hallo Wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu. Naitwa KASTORI KALITO nashiriki katika STORIES OF CHANGE-2022 kwa makala zifuatazo, kalibu usome makala zangu zenye ujumbe wa kunusuru mabadiliko ya tabia ya nchi na namna ya kuawaandaa vijana wa vyuo vikuu na ukivutiwa tafadhali naomba kura yako .

1. Mitandao ya kijamii, fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu, Gundua fursa zisizoonekana

2.Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu.

Ni mimi KASTORI KALITO. Asante
 
Mbona andiko langu baada ya kupost silioni Tena
 
Habari wadau, ni Imani yangu kuwa wote humu tuna tamani sana kuona mabadiliko yakitokea ktk familia, jamii na taifa letu kwa kulitambua ilo nawakaribisha sana kusoma andiko langu lililo jikita ktk sekta ya afya hasa likionesha ni namna gani watu wenye nafasi wakiazitumia vizuri tunaweza kupata mabadiliko chanya ktk nyanja za AJIRA, UCHUMI, AFUENI KTK MATIBABU NA MAENDELEO ENDELEVU KTK TAIFA LETU KUPITIA SEKTA YA AFYA. Karibuni sana tulisome, tulijadili kwa maendereo ya taifa letu.
 
Shindano la mwaka huu ni balaa...

Kila mtu anaandika vizuri...mambo ni mazuri.

Big up wote mlioshiriki na mnaoendelea kushiriki....Good luck, ningependa kushiriki ila uandishi mbovu,lol.
 
Back
Top Bottom