Boom awamu ya pili saut

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
429
61
Bandugu zangu habari za weekend? Naomba msaada wenu katika hili, kuna mwanaSAUT alipata mkopo na kama ilivyo utaratibu wa sasa boom hutolewa kwa awamu,awamu ya kwanza alisign na aliwekewa.Awamu ya pili ilipotangazwa kuwa kwakasign,alienda lakini jina lake halikuwepo kwenye orodha,aliyekuwa anasimamia zoezi hilo akamwandika jina then akamwambia asijali atapata boom.Sasa jana alipata habari kuwa wenzake tayari imetema lakini alipoangalia kwake hakuna kitu,sasa je,nini inaweza kuwa sababu ya jina lake kukosekana?majina yaliotumika awamu ya kwanza ni tofauti na ya awamu ya pili kwa vipi wakati benefitiaries ni walewale,anaomba mwenye namba ya waziri wa mikopo amsaidie hapa aweze kuelekea chuo kufuatilia, asanteni
 
Sasa Jamiiforums kuna majibu ya tatzo la loan yako? Nenda pale ofisi za eduche ukamwone Waziri wa Mikopo au Public Relation Officer wa chuo (Afisi ya Bursar). Mambo ya chumbani usipende kuweka sebuleni!! Kuwa na adabu.
 
ok well thank you ila ka umeona ni ya chumbani na we unataka za sebuleni ungepishana nayo tu
 
Nenda hapo loan office watatatua tatizo lako.
Kama ni saut mwanza onana na bwana mmoja anaitwa MUSSA kama bado yupo au onana na waziri wa mikopo.
 
Nenda hapo loan office watatatua tatizo lako.
Kama ni saut mwanza onana na bwana mmoja anaitwa MUSSA kama bado yupo au onana na waziri wa mikopo.

asante mkuu,wengine hapo lazima wakukashfu kwanza ndo wakuelekeze utadhani wamezaliwa wanafahamu kila kitu
 
Back
Top Bottom